Ndio ww hiii radi haifai utafkiri sijui nn kinaanguka sijahi skia wala kuona radi ya namna hiii
Pia kumbuka herufi ndogo kama mungu sio Mungu aliye hai ni mungu wa dunia(Shetani) jitahidi kuandika herufi kubwa majina kama Haya Mungu na wala sio mungu au uandike herufi kubwa yote kama hivi MUNGUHabari za asubuhi wadau, maeneo ya mbagala kuna mvua kubwa sana yenye radi inanyesha muda huu tangu majira ya saa 12 asubuhi hadi muda huu, radi ni za nguvu hadi ardhi inatetema, tuombe mungu isilete madhara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah... Mpango wangu wa kuja kariakoo umeshafeli sasa...Jaman hongereni huku ni balaaa ambao hatujatoka ndani hatutoki matumbo yanauma uoga wa hiii radi
Daah... Mpango wangu wa kuja kariakoo umeshafeli sasa...
Jamani tupeni updates kama msimbazi panapitika
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo umekosa kitu kimoja tu,najua ushakielewa hahaMbagala niliyopo imenyesha nje kumelowa ndembendembe... nimerudi kitandani kujilaza nimejigubika blanketi bwiiii.
Naperuuuzzzzzz na Kudaaadiiiizzzzzz
Bunju huku hakuna hata dalili ya mvua
Vipi Ilazo panapitika?Dodoma Kuna mvua kubwa Sana...
Ila umeme upo na Hakuna mafuriko ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Utata ni pale unakaa mbezi then unafanya kazi kibaha.Huwezi amini kibaha huku kukavu.. Tunaona giza tuu na mirindimo ya radi kwa mbaali sijui itashuka saa ngapi!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna mungu wangapi?Pia kumbuka herufi ndogo kama mungu sio Mungu aliye hai ni mungu wa dunia(Shetani) jitahidi kuandika herufi kubwa majina kama Haya Mungu na wala sio mungu au uandike herufi kubwa yote kama hivi MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app