UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Habari za asubuhi wadau, maeneo ya mbagala kuna mvua kubwa sana yenye radi inanyesha muda huu tangu majira ya saa 12 asubuhi hadi muda huu, radi ni za nguvu hadi ardhi inatetema, tuombe mungu isilete madhara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kumbuka herufi ndogo kama mungu sio Mungu aliye hai ni mungu wa dunia(Shetani) jitahidi kuandika herufi kubwa majina kama Haya Mungu na wala sio mungu au uandike herufi kubwa yote kama hivi MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom