Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
Mbona huku Buza upo.Kama kisarawe inanyesha basi mpaka saa 5 patakuwa hapapitiki. Lkn kwa Sasa tanesco wamechukua umeme wao Shwain
Sent using Jamii Forums mobile app
sio viziri kulala peke yako kipindi hichi.
Poleni jamaniJaman hongereni huku ni balaaa ambao hatujatoka ndani hatutoki matumbo yanauma uoga wa hiii radi
Kiukwelo kwa mfano mbeya Radi ni kawaida Sana mvua ikiwa inanyeshaGoddess ujakaa mikoani wewe ukaziona Radii za huko utafikili uko msitu wa Amazon
Sent using Jamii Forums mobile app
Msumari wa moto.....Apo umekosa kitu kimoja tu,najua ushakielewa haha
Kwa mikoani Radi mvua ikiwa inanyesha ni kawaida Sana poleniKwa kweli mungu asimamie hili hizi radi hapana
Ilishavunja ukimya imetandika ya kutosha hukuUtata ni pale unakaa mbezi then unafanya kazi kibaha.
Ukiamwambia bosi mvua kubwa inanyesha huku hawezi kukuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una kibali cha uindaji....!!?mi niko mkoani babu saivi najipanga kwenda kuwinda unaniuliza mambo ya mwendokasi?
Shekilango ipi Ina Hilo daraja?
Sasa hivi bado wamelala ila wakiamka tu utasikia wanatoa tahadhari kua mvua inatoka kusini mashariki kuelekea kaskazini magharibi kwa kasi ya kilo tatu kwa saa, pia bahari ikakua na mawimbi madogo madogo pamoja na ngurumo za radi kwa ukanda wa kilwa kivinje.
Ukienda Mwanza kipindi cha mvua hautamaliza wiki unapakimbia. Kule radi zinaua, zinatoboa mabati na kupasua miti. Radi ikipita mahali utafikiri jogoo kaparua.Kwa kweli mungu asimamie hili hizi radi hapana
SHEKILANGO KWENDA SINZA PALE BONDENIQ
Shekilango ipi Ina Hilo daraja?
Kabla hujafika Mugabe primary schoolHEKILANGO KWENDA SINZA PALE BONDENI
YESKabla hujafika Mugabe primary school
Siyo Legal pale
Kwamba umeshaamka au hujalala😀😀😀Huogopi hizi radi ?! Maana ni balaa
Ni wapi hapa mkuu?