DAR MVUA YAWA TISHIO.
Maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam yamefurika maji huku mvua zikiendelea kunyesha:-
1. Jangwani.. Kutokea fire to magomeni na magomeni to fire. Imefungwa.
2. Jangwani kwa nyuma kutokea Kariakoo to kigogo imejaa Maji.
3. Umoja wa mataifa. Kutokea Almuntazir mpaka muhimbili primary kumajaa Maji.
4. Scout upanga barabara ya malik pamejaa maji kuja junction ya muhimbili
5. Barabara ya Fire hapa ktk hospital ya Regency pamejaa Maji
6. Kamata ktk barabara ya nyerere ktk fly over ya treni pamejaa Maji
7. Kamata kutokea kariakoo kuja barabara ya nyerere pamejaa Maji.
8. Waterfront hapa kuja central police pamejaa Maji
9. Barabara ya Mwamnyange kuingia main road ya Whitesand pamejaa.
10. Barabara ya whitesand kwenda round about ya whitesand hali si shwari
11. Basihaya kwenda Nyaishozi ni shida tupu.
12. Junction ya barabara ya gonna ktk Mataa Maji yamejaa
13. Mbozi road Chang'ombe maji yamefurika.
14. Junction ya hapa kwa sokota napo pamejaa maji pia.
15. Sinza Legho darajani hapa pamejaa maji pia
Je tukipatiwa msaada wa helkopita au bombardier zitatuokoa?
Sent using
Jamii Forums mobile app