Habari Njema!
Hassan Elias Masala, DC Wa Kibondo Amefanikiwa Kumdondosha Mbunge Alikawa Anatetea Nafasi Yake Ya Ubunge. Si Mwingine Bali Ni Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ndugu Mathias Chikawe.
Upepo Wa Kukataliwa Kwa Chikawe Ulianza Mara 2008, Alipoleta Sanda Za Kuzikia, Ktk Uchaguzi Wa C C M, Aliangushwa U N E C.
Mwaka 2014, Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Kijiji Chake Cha Stesheni Kimetwaliwa Na Chadema. Kata Yake Ya Stesheni Imetwaliwa Na Upinzani Kwa 80%. Tutarajie Diwani Wa Ukawa.
Viongozi Wakongwe Waache Umungu Mtu.
Nchi Hii Ni Yakwetu Sote.
Majimbo Haya Ni Yetu Sote.
Kata Hizi Ni Zetu Sote.
Watanzania Wanataka Mabadiliko!
Hongera Masala! Nachingwea Mpya Itazaliwa.