Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Si Tabora tu majimbo yafuatayo mbunge aongozi zaidi ya miaka motano no Musoma mjini, mwibala, nyamagana, shinyanga mjini, Rufiji nk
 
Hiyo ndio ccm kama huna pesa za kuhonga hupati uongozi, moja ya sifa ya ccm ni lazima ujue kutoa rushwa au kuhonga. Maswaiba wao Takukuru wamejificha.

Takukuru! Labda ya Taiwan ila ya Tanzania hawa ni wajomba zao na wapo kwa ajili lengo moja likiwa kazi yao waliyotumwa ni kuwasafisha vigogo wa ccm. Labda ukihamia chama pinzani ndio labda utawasikia.
 
Nape anaelekea kushinda kwa kadirio la 98%

attachment.php
 
Habari Njema!
Hassan Elias Masala, DC Wa Kibondo Amefanikiwa Kumdondosha Mbunge Alikawa Anatetea Nafasi Yake Ya Ubunge. Si Mwingine Bali Ni Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ndugu Mathias Chikawe.

Upepo Wa Kukataliwa Kwa Chikawe Ulianza Mara 2008, Alipoleta Sanda Za Kuzikia, Ktk Uchaguzi Wa C C M, Aliangushwa U N E C.

Mwaka 2014, Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Kijiji Chake Cha Stesheni Kimetwaliwa Na Chadema. Kata Yake Ya Stesheni Imetwaliwa Na Upinzani Kwa 80%. Tutarajie Diwani Wa Ukawa.

Viongozi Wakongwe Waache Umungu Mtu.


Nchi Hii Ni Yakwetu Sote.

Majimbo Haya Ni Yetu Sote.

Kata Hizi Ni Zetu Sote.

Watanzania Wanataka Mabadiliko!

Hongera Masala! Nachingwea Mpya Itazaliwa.
 
Vipi arusha na mondulli na arumeru magharubi na mashariki
 
Back
Top Bottom