Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Nimepokea simu kuwa Waziri mtarajiwa wa Nishati na Madini, ndg yetu mpendwa Prof. Sospter Mhongo kashinda Musoma Vijijini (Butiama) japo sija ambiwa idadi ya kura.
Safi hii, turudishieni jembe hili kwenye harakati za kuikomboa tanzania kimaendeleo
 
Wameshinda ila watashindwa na kuungana na waliowashinda za maoni.mtaona moto wa ukawa.
 

Chikawe atapewa viti maalum
 
Aje chadema tumpe hata udiwani kumuenzi mzee malima
 
Ha ha ha ofisi za lumumba zitajaa maana wote watakaopigwa chini watahamishia ofisi zao lumumba badala ya majimboni.
 
Matokeo rasmi majimbo ya Kagera

Bukoba Mjini:

Mshindi ni Balozi Khamis Kagasheki,
Balozi Khamis Kagasheki 6971
Dr Anatory Aman 944.
George Rubayuka 113.
Josephat kaijage 71.
Mujuni kataraiya 53.
Philbert Katabazi (nyerere) 34.
clistiana Rwezaula 29.
Hereth Projestus 19.

BukobaVijijini
Mshindi ni
1:Bw.Jasson Rweikiza ,

Muleba Kaskazini
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Mshindi ni
1: Charles Mwijage[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Muleba Kusini
Mshindi ni
1😛rofesa Anna Tibaijuka,

Jimbo la Nkenge
Mshindi ni
Diodorous Kamala,
DR DIODORUS KAMALA 8229,
FROLENT KYOMBO 5429,
ASUMPTA MSHAMA 5273,
JULIUS RUGEMALIRA 5201,
DR MAZIMA JOHACKIM 2329
DR NYAGWA 671
 
Matokeo vipi kwa majimbo ya handeni vijijini,same Mashaliki
& magharibi ...?
 

Tibaijuka jimbo wamepewa UKAWA Tayari.
 

Hili ndo jembe langu bwana!
Sijui kwa nini hakugombea urais
 
Kama mlihisi ccm watafukuza mafisadi hahaaa wamesoma nyakati uchaguzi wa 2010..wameapa kupitisha watakaopitishwa na wana ccm wenzao

So napenda kukupongeza. Hon mtarajiwa ingawa wameongea mengi ju ya escrow mara.ushindi wako n fadhila za mzee kukuhaidi ubunge. Na yale mambo yetu ya zittoscrow

Anyway hata kwenye khanga yapo mpwa napenda ufike huko ndani wakiuliza maana ya escrow wajibiwe vizuri..namini zito nae atakuwepo humo..ingawa kwa chama kingine..
 
Hahaaahaaa ccm ndio imetoka mpwa hiyo. ..nasikia wamekubaliana washindj waende kama ilivyo kuogopa dhahama ya katahuyu toa huyu ya 2010..kazi ipo..kazikwetu ukawa chambo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…