Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote


baada ya Lowasa kutoka maofisini na kuingia maviwanjani kila kitu kitasomeka .Lowasa ana wapiga kura , viongozi waccm watajibanza hukohuko ila ana wananchi wengi mno nimefnya utafiti vituo vya kujiandikishia hali mbaya nakiri ingawa mimi ccm
 
Nipashe Jumapili
 

Attachments

  • 1438504870753.jpg
    85.6 KB · Views: 795
Hili Jimbo Mohammed Mtoi wa CDM/Ukawa hana haja ya kupiga kampeni, asubiri kuapishwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Wagombea wenzake ndani ya ccm wameendelea kupanic baada ya ushindi wa asilimia zaidi ya asilimia 90,JAIRO NA KILIMBA wameingia mitini mapema baada ya kuona hali ni tete..nipo jimboni nitaendlea kuwajuza.

mod naomba msiondoe huo uzi niliouweka kuhusu kuumbuka kwa mwigulu ni habari za uhakika kura za maoni zilizopigwa na zimempigia mwigulu zilikamatwa na utaratibu unaendelea ndani ya chama na ikiahondikana kisheri. Mwigulu hajashinda kihalali niongeze mfano mwingine maluga kura za mwigulu ni mia saba na hamsin na sita wakati kijiji kizima waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ni 722.kwa hakuna uhalisia wa kura alizopata zaidi ya wizi tena wa kitoto. Amekimbilia hapa kwenye jukwaa kujiosha tu mbivu na mbichi zitajulikana mwaka huu
 
Hujui siasa..... Wala hujui mipango iliyopo, ni vyema ukae kimya....

Na ni tokea lini Ole Sendeka alikuwa kambi ya Lowassa?
Hakuna cha mipango hapo. Mmepigwa bao la kisigino. Subirini bao la mkono
 
Mwenye taarifa mbeya mjini kapita nani anayekuja pambana na moto wa sugu????
 
Katika jumbo la Bunda @Wassira ameshindwa na mmoja wa wapinzani wake my.Maboto lakini mkuu wa wilaya anagoma matokeo yasitangazwe kwamba yahesabiwe upya na wananchi wamedai kuwa Maboto ameshinda na endapo watalazimisha kuwa ni Wassira back kura sao zitaenda Ukawa. katika mzozano huo, mkuu wa wilaya amepiga simu Polisi na wakaja zaidi ya Polisi 15 na silaha za moto kutuliza amani katika of is I ya CCM wilaya ambapo ndo eneo la tukio.
 
unacholalamika kwa CCM hakitasikilizwa
km Mwigulu kaongoza kwa kura 1 hata ya Goli la Mkono HATAKATWA wala hakuna Rufaa
Hiyo ndiyo CCM niijuayo hapo Mwigulu KASHINDA

 
WW unaesema ana ngoma umejuaje?mbona ulishindwa kumsindikiza mkeo klinic baada ya kutokujiamini?sasa unasubiri mkeo akijifungua anyonyeshe ujione ni mzima!uache kabisa kumnyooshea mwingine kidole
 
Wassira naona ana staili ya 'tukose wote' yaani akishindwa yy basi na mwenzake akose ili liende Ukawa.

Mkuu wa wilaya tangu lini asimamie kura za maoni ndani ya vyama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…