Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowasa ana hela lakini watu hana.Nilishangaa MBowe aliposema eti lowasa atawaleta wanaCCM mamilioni kuhamia CHADEMA.Lowasa ana watu CCM kawatoa wapi? Akina mbowe jiandaeni hao hao mlionao ndio atakaowatumia yeye kaja mweupe hana wafuasi huyo ana wapenzi tu wa muda kutegemea na hela alizowamwagia.Mtu mwenye watu CHADEMA ni SLAA SIO MBOWE na CUF ni SEIF sio Lipumba.
Lowasa mliyemchukua CHADEMA mmechukua mtu asiyekuwa na watu huyo alikuwa anategemea wana CCM wenye watu wampe na wamsaidie kampeni.Mbowe sababu hana watu hawezi mbeba Lowasa.Ni wajanja wawili wasio na watu wanaoviziana Mbowe akidhani Lowasa ana watu na Lowasa akivizia na kudhani mbowe ana watu.Wamekutana wajanja wa mjini wawili wasiokuwa na watu.CHADEMA itagaragazwa safari hii uchaguzi mkuu hadi basi.Matokeo ya safari yatakuwa ya aibu kwa CHADEMA mark my words.
Chalinze Municipal Council au mkoa tarajiwa wa Chalinze, nani amepita kwenye hili jimbo la Chalinze.
Watani zangu nao duh!Mna wanachama wengi hivyo wa magamba!badilikeni
Hili Jimbo Mohammed Mtoi wa CDM/Ukawa hana haja ya kupiga kampeni, asubiri kuapishwa tu.Katika hali isiyo ya kawaida wanaCCM jimbo la Lushoto wameamua kujaribu ujinga kwa kumchagua mgombe wa darasa la saba kuwakilisha katika uchaguzi mkuu 2015. katika chama hicho kilibahatika kupata magombea wenye Elimu ya juu sana na ya hali ya juu lakini wanaCCM wakaamua kuchukua maamuzi ya kumpitisha mgombea wa darasa la saba na kuwapotezea wasomi wote majanga. walipo ulizwa kwa nini wameamua kumpitisha mtu wa darasa la wengi wakadai eti aaaaah! bwana bora tumpitishe mjinga mwenzetu kwa sababu hao walisoma hawana msaada wowote.:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
Wakuu naomba kujuzwa lile jimbo mropokaji kule Mtama kaangukia pua ama vp mwenye nyepesi..
Wagombea wenzake ndani ya ccm wameendelea kupanic baada ya ushindi wa asilimia zaidi ya asilimia 90,JAIRO NA KILIMBA wameingia mitini mapema baada ya kuona hali ni tete..nipo jimboni nitaendlea kuwajuza.
Moshi wamekosa mtu wa hapo? Mbunge kukaa dar wakati unawakikisha moshi sio sawa.... Hata hivyo jimbo la chadema hilo ccm wasahau
ina maana Jerry Slaa huamini kama kachukua Ukonga?Ukonga umechemka mkuu
Ndio Siasa hizo Bshe kwa sasa ni Raia Kamili mizengwe tena hakuna naona kaambulia 99%Bashe atakatwa kwa ccm sio raia wa tz, so atakuja cdm
Mabadiliko yapi unayoyasema
Hakuna cha mipango hapo. Mmepigwa bao la kisigino. Subirini bao la mkonoHujui siasa..... Wala hujui mipango iliyopo, ni vyema ukae kimya....
Na ni tokea lini Ole Sendeka alikuwa kambi ya Lowassa?
rage alitumia muda mwingi simba kuliko jimboni..
unacholalamika kwa CCM hakitasikilizwamod naomba msiondoe huo uzi niliouweka kuhusu kuumbuka kwa mwigulu ni habari za uhakika kura za maoni zilizopigwa na zimempigia mwigulu zilikamatwa na utaratibu unaendelea ndani ya chama na ikiahondikana kisheri. Mwigulu hajashinda kihalali niongeze mfano mwingine maluga kura za mwigulu ni mia saba na hamsin na sita wakati kijiji kizima waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ni 722.kwa hakuna uhalisia wa kura alizopata zaidi ya wizi tena wa kitoto. Amekimbilia hapa kwenye jukwaa kujiosha tu mbivu na mbichi zitajulikana mwaka huu