Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Leo hii zimekamatwa karatasi za kupigia kura zilisho kwisha jazwa majina ya wagombewa kuwa tayari wamechagulia na wapiga kura wao,huko rorya na tarime,likiwemo jina la kabaka,hivi hii aibu ya wizi na uraghai itaisha lini ndani ya ccm?
 
Angalizo kwa wadau Wa siasa, kukidhiri kwa rushwa kwa baadhi ya wabunge na mawaziri Wa ccm bunge la 10 dalili zinaonyesha idadi kubwa ya makada mahiri Wa ccm hawataridi bungeni..adhari kubwa katika chama na chaguzi za wagombea ni kutokea kuuzana kama ilivotokea kwa filex mrema mbunge Wa ccm arisha mjini....pia bunge litakosa nguvu na ushawishi kwa kukosekana kwa viungo muhimu kama mwigulu,Anna kilango.,agrey mwamnri, wasira je nafasi zao zitazibwa?
 
Wagombea ubunge mkoa wa Mara Nyangwine na Gaudencia Kabaka wamedaiwa kuanza faulo kwenye kura za maoni baada ya karatasi za kupigia kura zaidi ya elfu ishirini kukamatwa zikiwa zimeshapigwa tiki za kuwachagua. Wagombea wenzao wamegomea zoezi hivyo zoezi litafanyikaupya kesho.

SOURCE: ITV Breaking News
 
Zoezi la kura za maoni za kutafuta wagombea wa ubunge CCM Tarime mjini na vijijini limeahirishwa mpaka keshk baada ya kukamatwa karatasi maalum za kura zaidi ya 20,000 zikiwa zimejazwa majina ya wagombea wawili Mh. Gaudencia Kabaka kwa Tarime mjini na Mh. Nyambari Nyangwine Tarime vijijini

Chanzo: ITV Breaking news
 
Sasa hilo goli, wanajipiga wenyewe kwa wenyewe! Hakuna msafi huko, ndo maana badala ya kuzungumzia issues wanakaa wanamzunguzia mtu!!!
 
Ni aibu tupu kwa ccm,chama kipo madarakani miaka yote ya uhuru bado wanaiba kura?form zilizo jazwa tayari jumla 20000 ziki wahusu nyambali na kabaka
 
Kimetokea vurugu kwenye mchakato wa kura za maoni CCM hapa Tarime, kwani zimekutwa makaratasi za kupigia kura zaidi ya 25000 zikiwa zimeshatikiwa majina ya wagombea wawili MH GAUDENSIA KABAKA (TARIME MJINI) na NYAMBARI NYANGW'INE (TARIME VIJIJINI).

Kutokana na kadhia hiyo uchaguzi usogezwa mbele hadi kesho, wanachama wamehoji uhalali wa hizo makaratasi zilipotunzwa na kuleta vurugu japo hakuna majeruhi yaliyotokea miongoni mwa wanachana (wajumbe).

Mytake: CCM HAMFUNDISHIKI WALA KUJIFUNZA

CHANZO: MIMI MWENYEWE
 
Tumechoka na hao mafisadi wakurya wenzangu tuhamie upande huu mwingine kuna neema na asali
 
Back
Top Bottom