Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote


Nyalandu kashinda Singida Kaskazini kwa 85%
 

Huyu ni nfuasi mkubwa sana wa EL. Ikikaribia uchaguzi anajitoa.
 
Wakuu salama
Hatimaye Sendeka aliyekuwa mbunge wa simanjiro anapumulia mashine baada ya mpinzani wako Toima kumpita mbali kwa kura nyingi,mpaka sasa Toima anaongoza kwa kumuacha sendeka mbali sna.Habari zaidi zinasema sendeka hakuamini hali iliyopelekea kuanzisha vurugu ili kuharibu matokeo,Baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwani tayari ameshapigwa kama kata kumi na moja ndipo alipoomba msaada serikalini mapaka sasa tunazungumza FFU wako kila kona,HIYO NDO HALI HALISI YA SIMANJIRO
 

Mfumo wa Mafisadi huo unarudi.
 
Mzee MOLLEL katoswa? Basi lema mbunge wa arusha tena.
 

Ahsante kwa taarifa.
 
kesho utasikia ccm hakuna demokrasia anaenda chadema
 
Matokeo Rasmi Jimbo La Mbeya Mjini
Matokeo kwa kata zote 35 Mbeya Mjini
Kajuna 4295
Shitambala 4045
Mwakipesile 2316
Mwakwenda 185
Numbi 192
Mwasanguti 192
Mwaiteleke 1524
Mbembela 85
Fatuma 637
Mwaisumbe 633
Swilla 197
Mwakisu 1060
Mwakilili 1262
Makombe 934
Mbuza 158
 
Cdm wajihadhari wasipokee kila mtu. Huyu na Makongoro Mahanga sina imani nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…