Mimi naona wizi huo kutokea iwe kama alarm kuwaamsha viongozi wa vyama vya upinzani hususani UKAWA kuamka katika usingizi (kama bado wamelala) kua CCM haiwezi kuacha kuiba kura hata iweje.
Hivyo ni jukumu lao kujipanga mapema, tusijipe moyo kuwa Lowassa yupo atasaidia maana wale ni wenzie hivyo hawawezi kumzidi mbinu, wanaweza kubadili strategy ya kuiba kwenye uchaguzi mkuu.