Leo hii zimekamatwa karatasi za kupigia kura zilisho kwisha jazwa majina ya wagombewa kuwa tayari wamechagulia na wapiga kura wao,huko rorya na tarime,likiwemo jina la kabaka,hivi hii aibu ya wizi na uraghai itaisha lini ndani ya ccm?
Angalizo kwa wadau Wa siasa, kukidhiri kwa rushwa kwa baadhi ya wabunge na mawaziri Wa ccm bunge la 10 dalili zinaonyesha idadi kubwa ya makada mahiri Wa ccm hawataridi bungeni..adhari kubwa katika chama na chaguzi za wagombea ni kutokea kuuzana kama ilivotokea kwa filex mrema mbunge Wa ccm arisha mjini....pia bunge litakosa nguvu na ushawishi kwa kukosekana kwa viungo muhimu kama mwigulu,Anna kilango.,agrey mwamnri, wasira je nafasi zao zitazibwa?
Wagombea ubunge mkoa wa Mara Nyangwine na Gaudencia Kabaka wamedaiwa kuanza faulo kwenye kura za maoni baada ya karatasi za kupigia kura zaidi ya elfu ishirini kukamatwa zikiwa zimeshapigwa tiki za kuwachagua. Wagombea wenzao wamegomea zoezi hivyo zoezi litafanyikaupya kesho.
Zoezi la kura za maoni za kutafuta wagombea wa ubunge CCM Tarime mjini na vijijini limeahirishwa mpaka keshk baada ya kukamatwa karatasi maalum za kura zaidi ya 20,000 zikiwa zimejazwa majina ya wagombea wawili Mh. Gaudencia Kabaka kwa Tarime mjini na Mh. Nyambari Nyangwine Tarime vijijini
Kimetokea vurugu kwenye mchakato wa kura za maoni CCM hapa Tarime, kwani zimekutwa makaratasi za kupigia kura zaidi ya 25000 zikiwa zimeshatikiwa majina ya wagombea wawili MH GAUDENSIA KABAKA (TARIME MJINI) na NYAMBARI NYANGW'INE (TARIME VIJIJINI).
Kutokana na kadhia hiyo uchaguzi usogezwa mbele hadi kesho, wanachama wamehoji uhalali wa hizo makaratasi zilipotunzwa na kuleta vurugu japo hakuna majeruhi yaliyotokea miongoni mwa wanachana (wajumbe).