Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

huyu paka anafikiri ubunge ni mpira wa yanga na simba msigwa habari nyingine usimfananishe na huyo fisadi wenu
 
Msigwa amefanya kazi Tayari na watu wameiona, usiwaze kienyeji kienyeji tu , Msigwa sasa ni ana identity ya Kitaifa ameshajijenga sio rahisi kumtoa kma unavyowaza...
 
Wanyakyusa wanagombea kuwaongoza wahehe! Wahehe mko wapi mnaachiaje eneo binge lenu kijinga jinga namna hii
 
Huyu mwakalebela boya tu .....labda kama ataiba kura
 
Iringa wanajua uhuru chini ya msigwa na utumwa wa mda mrefu chini ya ccm.hapo umekurupuka.
 
Msingwa kwa iringa bila kustahafu kama mzee ndesa hamna wa kumtoa
Lakini ndoto zako za mchana sibishani nazo
Endelea kuishi kwa matumaini
 

Moto wa ukawa wa gesi wa ccm wa mabua
 

Kumbuka Mwandosya alikuwa wa ngapi 2005 aliishia kukatwa 2015
 
Kazi aliyopiga Msigwa hata agombee Mwakalebela na baba yako mzazi kama mgombea mwenza,hawashindi hata kwa kura 1

Mkuu matusi si sehemu ya maisha ya muungwana...sijaona ulazima wa kumtaja baba wa mtoa mada hapa...tujaribu kuwaheshimu wazazi wa wenzetu kama tunavyotaka waheshimiwe wazee wetu.....
 
Ina maana sasa hivi Arusha mjini wakimsimamisha FELIX MREMA aliyekatwa kipindi kile LEMA hakatizi?

Tujadiliane!
 

Acha ujinga,huko iringa na mbeya kuna maendeleo gani yaliyoletwa na wabunge waliomaliza muda wao?
Msigwa hamna kitu kabisa pale yaani hana kitu chcht alilolifanya kwa wananchi wake,sugu ndo anazidi kuwa sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…