Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote


Nani mjinga asuyefahamu kuwa hii thread ni kampeni ya kuihadaa Kamati kuu ya ccm isimkate huyo mwakalibibi wako! Kwa taarifa yako atakatwa tuu maana hakuna namna.
 
Malima akiangukia pua tutashukuru kwani amekukwa bigwa.wa kutetea maovu pale mjengoni na kuwabeza wapinzani.

Mimi nimefurahishwa sana na kale kamama ka nkenge kukatwa mchana kweupe
 

Jitahidini muwapige chini hao wagamba,kazi yao bungeni ni kulala na kupiga makofi tu na ndiyooooooooooo
 

Hongera sana kamanda kwa kula noti ya gamba na kura uipeleke ukawa
 
singida mjini wamemtangaza mazala kashinda watu pale pale jengo la ccm mkoa wakaanza kuimba peopleee power,hawajaridhika na goli la mkono so wameapa ushindi wa jimbo ni kwa ukawa.

hahahaha mazala yule alikuwa muuza kuku pale sokon kipind kile...duuuuuu ila watu wanabahat ase
alikuwa kachoka ni hakunaga..
 

Chachuombara wewe unaogopa kula nkende?ni kitoweo poowa kabisa ndio maana mbunge wenu aliwashauri ili wananchi wake mpate full nutrients
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyu mtoto sijui nani kamuambia awe anashinda jukwaa la siasa, hua anaandika kule MMU "aibu naona mimi" tabia hizi ni za kike, na ndio maana umeona pumba zake.
Akikua tunategemea ataacha ni kama mtoto kikojozi.
 

Wangetoana mimacho kabisa
 
Huku kata ya Luhundwa Simbachawene na diwani aliyeko madarakani wameiba fomu za kupigia kura kutoka kijiji cha ikuyu kupeleka vijiji wanapokubalika, hata hivyo baadhi ya matawi wanachama wamegoma kupiga kura hadi fomu 400 zilizoibwa zirudi

Simbachawene ni mwizi kumbe?
 
Huku mkwajuni chunya mulugo alikuwa anatoa 10 million kila kata
 
Kwa mkwajuni wananchi wameapa kuchagua mgombea wa cdm kwani yupo very smart
 
Huku mkwajuni chunya mulugo alikuwa anatoa 10 million kila kata
Dah I wish ningekutana nao mkuu .Nilikuwa Mbezi beach nikaona watu wa chama wamekaa na viongozo wa polisi bila kujia lengo lilikuwa nini baadae nikaondoka kuelekea Last Born...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…