SOLOMO
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 267
- 81
Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
Nani mjinga asuyefahamu kuwa hii thread ni kampeni ya kuihadaa Kamati kuu ya ccm isimkate huyo mwakalibibi wako! Kwa taarifa yako atakatwa tuu maana hakuna namna.