KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mkuu kumbuka huu ni mwaka wa maamuzi hivyo hayo ni mambo ya kawaida sana
Kweli mkuu huu ni mwaka wa maamuzi magumu....lakini mkuu sijui ni kwanini moyo wangu unakuwa mgumu kuukubali uwepo wa Lowasa pale UKAWA.....
MACHALE YANANICHEZA SANA NA HUYU MZEE...
Wanyakyusa wanagombea kuwaongoza wahehe! Wahehe mko wapi mnaachiaje eneo binge lenu kijinga jinga namna hii
Maji marefu tena bungeni duuuh
Kweli mkuu huu ni mwaka wa maamuzi magumu....lakini mkuu sijui ni kwanini moyo wangu unakuwa mgumu kuukubali uwepo wa Lowasa pale UKAWA.....
MACHALE YANANICHEZA SANA NA HUYU MZEE...
Mbeya Mjini Sambwee Shitambala aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya ameshinda.
Hivyo Sugu atapambana na mwalimu wake wa siasa za Mbeya, pambano zuri.
Leo ni August 1,2015 Wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima wanakusanyika katika maeneo ya matawi yao kuchagua mgombea mmoja atakayeshindana na wagombea wengine kutoka vyama tofauti na CCM.
Mchakato wa kampeini katika mkoa huu zimetawaliwa na vituko,udhalilishaji kwa baadhi wa wagombea hivyo hata upigaji kura za maoni utakuwa hivo hivyo,hii ndiyo sababu inatufanya tufuatilie live kura hizi.
Updates...
MORE UPDATES:
kapuya jana katangazwa na katibu wake kuwa ni mshindi wakat Kawa mshindi wa pili. Baada ya kuzidiwa kura na Iman matabula
Hayo magamba umeyajua leo?Gamba lingine limevuliwa kimkakati kama gamba kuu lilivyovuliwa dodoma,na magamba mengine yatavuliwa,tayari gamba makongoro,kapuya,Masha kazi imeisha,bashe atamalizwa kimkakati dodoma kama babaake,tunamuachia Nazi Mzee mangula kiboko yao