Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Mkuu kumbuka huu ni mwaka wa maamuzi hivyo hayo ni mambo ya kawaida sana

Kweli mkuu huu ni mwaka wa maamuzi magumu....lakini mkuu sijui ni kwanini moyo wangu unakuwa mgumu kuukubali uwepo wa Lowasa pale UKAWA.....
MACHALE YANANICHEZA SANA NA HUYU MZEE...
 
Hana madhara atadhibitiwa kila kona na ndiyo fursa ya kujifunza sasa.
 
Kweli mkuu huu ni mwaka wa maamuzi magumu....lakini mkuu sijui ni kwanini moyo wangu unakuwa mgumu kuukubali uwepo wa Lowasa pale UKAWA.....
MACHALE YANANICHEZA SANA NA HUYU MZEE...

Mkuu hutakiwi kuwa na shaka sana,biashara yoyote lazima uijaribu
 
Mbeya Mjini Sambwee Shitambala aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya ameshinda.

Hivyo Sugu atapambana na mwalimu wake wa siasa za Mbeya, pambano zuri.
 
Kweli wa Tanzania tujitambue adui nambali moja wa nchi hii ni CCM uhalali wa namna hii uko wapi?
 
Mbeya Mjini Sambwee Shitambala aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya ameshinda.

Hivyo Sugu atapambana na mwalimu wake wa siasa za Mbeya, pambano zuri.

Hope safari hii hata jizamini mwenyewe
 
Leo ni August 1,2015 Wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima wanakusanyika katika maeneo ya matawi yao kuchagua mgombea mmoja atakayeshindana na wagombea wengine kutoka vyama tofauti na CCM.

Mchakato wa kampeini katika mkoa huu zimetawaliwa na vituko,udhalilishaji kwa baadhi wa wagombea hivyo hata upigaji kura za maoni utakuwa hivo hivyo,hii ndiyo sababu inatufanya tufuatilie live kura hizi.

Updates...

MORE UPDATES:

Ni aibu tupu kwa chama kikongwe kama hiki kufanya mambo kama hayo, hivi wananchi tujifunze nini kutoka kwao? Hivi ni nani sasa atakayepinga kuwa hata malalamiko ya vyama vya upinzani kuwa huwa wanaibiwa kura zao mezani, ni mwanaume gani jasiri atakayepinga hoja hiyo wao wenyewe wanaibiana tena bila hata aibu?

Hii Ni Aibu ya aina yake kwa kweli!
 
kapuya jana katangazwa na katibu wake kuwa ni mshindi wakat Kawa mshindi wa pili. Baada ya kuzidiwa kura na Iman matabula
 
Gamba lingine limevuliwa kimkakati kama gamba kuu lilivyovuliwa dodoma,na magamba mengine yatavuliwa,tayari gamba makongoro,kapuya,Masha kazi imeisha,bashe atamalizwa kimkakati dodoma kama babaake,tunamuachia Nazi Mzee mangula kiboko yao
 
Hayo magamba umeyajua leo?
 
Back
Top Bottom