Mtemi Amos
Member
- Jul 29, 2015
- 24
- 1
Mtela umetumia pesa nyingi sana uku mbozi ili upitishwe kwenye kura za maoni but umeangukia pua vibaya mno.
Umetumia milioni 6 umepata kura 3,
ccm ina wenyewe na wenyewe ndio sisi,hivi from nowhere utoke utokako uje kuivamia ccm ovyo,
Nasikia unalalamika kuchezewa rafu,sasa ndugu yangu wewe ulipokua cdm ulilamika and now unalia tena,ebu rudi shule kafundishe.
MILIONI 6=KURA 3
Nkamia kapeta
Kwanza kuandika hujui na inaonyesha elimu yako ni ya mashaka mashaka.
Barabara gani ya mtaa ambayo Msigwa kaweka lami? Unajua kile kipande cha lami cha urefu wa 900m toka mwanyingo mpaka kwa shayo alichojenga mkandarasi Gamba pesa imetoka wapi? Hata msigwa mwenyewe alikuwa hajui nini kinaendelea.
Kipande toka kihesa sokoni mpaka semtema kilijengwa enzi za mama Mbega ingawa hakujenga yeye pia.
Pale kwenye junction ya bwawani kwenda mkimbizi palikuwa pabovu sana kabla ya wachina wa iringa-dodoma highway construction project hawajajenga daraja, wananchi wa maeneo yale walimuomba Msigwa awajengee daraja ikizingatia na yeye msigwa anaishi maeneo hayohayo,Msigwa akawajibu wananchi kwamba sio kazi yake.
Msigwa hapa iringa hajafanya lolote hata la kipuuzi hajafanya achilia mbali la maana.
Mwenye ushahidi hata wa maneno tu alete.
Apigwe chini tu maana hakuna namna nyingine sasa
Tamaa nayo ilivyombaya badala ya million 2 kumpa mwingine ili afikishe kura 4. Kala yeye kalipa milion 2 kwa watu wa2=4 jumlisha yeye wakawa 3. Sheeeda
Ismail Rage
Shekiffu
Asumpta Mshama
Wabunge hawa waliona wajibu wao bungeni sio kuwawakilisha watu bali kuitetea CCM kwa nguvu zote hata pale inapokosea na kuwakandamiza walio wachagua. Lakini wenye chama wameona hiyo sio kazi waliyowatuma na wamewanyima kura kuwakataa.
Jee wengine wamejifunza kuwa kutetea chama bungeni sio wajibu wa mbunge?
wenye matokeo ya ubunge singida mjini na manyoni mashariki
korogwe vijijini?
Ngwilizi chaliiii, daadeki,
korogwe vijijini?
Ebwana we! Huyo jamaa nadhani hata damu yake ilishakuwa ya kijani
Manyoni mashariki Daniel Mtuka ameshinda ila matokeo hayajatangazwa Mbunge aliyepita Chiligati kwa kushirikiana na Dr. Chaya wamehonga milioni 30 kwa viongozi wa wilaya ili wachakachue matokeo leo ndo yanaweza kutangazwa rasmi
WanaCCM wanajifariji sana, wameumia sana Lowassa kuhamia CHADEMA walidhani hawezi kufanya hivyo, jamaa akafanya maamuzi magumu.
Vibaraka wa Lowassa waliopo CCM ni hatari zaidi kwa CCM kuendelea kuwakumbatia maana watasumbua tu ndani ya CCM.
Huo ni mchuzi wa samaki tu, samaki mwenyewe yuko UKAWA, kama CCM hawataki shombo ya Samaki, basi na mchuzi waumwage basi.