Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Ya kweli aya?
nilikuwa namcheka mgombea udiwani huku kawapa wajumbe 60000 kapata kura 4.
CCM ina wenyewe kama alivyosema mtoa mada.
 
Mtela umetumia pesa nyingi sana uku mbozi ili upitishwe kwenye kura za maoni but umeangukia pua vibaya mno.

Umetumia milioni 6 umepata kura 3,
ccm ina wenyewe na wenyewe ndio sisi,hivi from nowhere utoke utokako uje kuivamia ccm ovyo,

Nasikia unalalamika kuchezewa rafu,sasa ndugu yangu wewe ulipokua cdm ulilamika and now unalia tena,ebu rudi shule kafundishe.

MILIONI 6=KURA 3

Kwa hesabu hiyo lazima kama ni biashara utafilisika tu
 
Kwanza kuandika hujui na inaonyesha elimu yako ni ya mashaka mashaka.
Barabara gani ya mtaa ambayo Msigwa kaweka lami? Unajua kile kipande cha lami cha urefu wa 900m toka mwanyingo mpaka kwa shayo alichojenga mkandarasi Gamba pesa imetoka wapi? Hata msigwa mwenyewe alikuwa hajui nini kinaendelea.
Kipande toka kihesa sokoni mpaka semtema kilijengwa enzi za mama Mbega ingawa hakujenga yeye pia.
Pale kwenye junction ya bwawani kwenda mkimbizi palikuwa pabovu sana kabla ya wachina wa iringa-dodoma highway construction project hawajajenga daraja, wananchi wa maeneo yale walimuomba Msigwa awajengee daraja ikizingatia na yeye msigwa anaishi maeneo hayohayo,Msigwa akawajibu wananchi kwamba sio kazi yake.

Msigwa hapa iringa hajafanya lolote hata la kipuuzi hajafanya achilia mbali la maana.
Mwenye ushahidi hata wa maneno tu alete.

Miye sijaja humu ndani kubishana na wewe ambae unahis unaa akili kubwa kuliko MTU yeyote na suala LA kujua kuandika miye sijasoma we mwenzangu ndio umesoma hongera sana .kwann yote hay a yamefanyika kipindi hiki cha msigwa hata Kama hakafanya kazi maana yake ni ufuatiliaji na ndio kaz yake ya msing unataka msigwa ajenge barabara kwan hyo kaz ya mbunge aliyekwambia nani kaka jipange wewe na chama chako mwaka huu mna kaz kubwa.Unafikiri ule umati Wa mwembetogwa mkubwa huwa unabebwa na maabas pamoja na malori ya yule mwarabu wenu pole sana,ndio maana siku zile watu walichngia mpaka ikafika million tano kuonyesha mapenzi Kwa mbunge wetu am aye bungeni anachangia hoja nzuri za kitaifa kwanini mama yenu mbega kipind kile alisema amejenga Barbara ya Ipogolo mjini blaza pole SNA USIpaniki. Kaka huyu mkuu Wa wilaya mwambie arud kule kule maana asije akakosa kazi bure.tuukutane October 25 maana vile vitanda vizuri ambavyo hata mara moja chama chenu hakijawahi kutoa hosptalini mlisema vya ovyo ila baba yenu waziri mkuu alivyokuja akasema vitanda safi sana na kingine MBNA huzumgumzi swla la maji nduli kaka ambayo mbunge wako lukuvi alishindwa kufikisha miaka yote pole Sana Jipangeni vizuri maana wakati wenu ulishapita yaana mwakalebela saw a tu SAULI.
 
Ismail Rage
Shekiffu
Asumpta Mshama
Wabunge hawa waliona wajibu wao bungeni sio kuwawakilisha watu bali kuitetea CCM kwa nguvu zote hata pale inapokosea na kuwakandamiza walio wachagua. Lakini wenye chama wameona hiyo sio kazi waliyowatuma na wamewanyima kura kuwakataa.
Jee wengine wamejifunza kuwa kutetea chama bungeni sio wajibu wa mbunge?

Ngwilizi chaliiii, daadeki,
 
wenye matokeo ya ubunge singida mjini na manyoni mashariki

Manyoni mashariki Daniel Mtuka ameshinda ila matokeo hayajatangazwa Mbunge aliyepita Chiligati kwa kushirikiana na Dr. Chaya wamehonga milioni 30 kwa viongozi wa wilaya ili wachakachue matokeo leo ndo yanaweza kutangazwa rasmi
 
Manyoni mashariki Daniel Mtuka ameshinda ila matokeo hayajatangazwa Mbunge aliyepita Chiligati kwa kushirikiana na Dr. Chaya wamehonga milioni 30 kwa viongozi wa wilaya ili wachakachue matokeo leo ndo yanaweza kutangazwa rasmi

Dr chaya 2010 walimpiga chini na mwaka huu karudi tena chali paka anafikia kuhonga. Arudi tu kufundisha mipango wamuhitaji aachane na siasa
 
Kila la kheri kwake katika maisha yake ya kisiasa baada ya kushindwa.
Ajaribu kuangalia alipokosea ili miaka 5 ijayo arekebishe, hakuna namna
 
Hivi hawa jamaaa wanaojifanya wanaipenda sana CCM wanaingia kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni halafu washindwa kutoa rushwa ya kutosha kama mfumo wa CCM unavyotaka, baadae wanashindwa vibaya halafu eti wanajifanya wamechukizwa na ccm, wakati wanajua ndiyo tabia yako siku zoote, miaka yoote, halafu eti wanakuja UKAWA. Mf Dr. Makongoro Mahanga!Hivi huyu atatusaidia nin UKAWA?
 
WanaCCM wanajifariji sana, wameumia sana Lowassa kuhamia CHADEMA walidhani hawezi kufanya hivyo, jamaa akafanya maamuzi magumu.
Vibaraka wa Lowassa waliopo CCM ni hatari zaidi kwa CCM kuendelea kuwakumbatia maana watasumbua tu ndani ya CCM.
Huo ni mchuzi wa samaki tu, samaki mwenyewe yuko UKAWA, kama CCM hawataki shombo ya Samaki, basi na mchuzi waumwage basi.

fisadi papa...by Dr slaa
 
Back
Top Bottom