Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Baadhi ya Matokeo Jimbo la Mtama
Mtakuja A
Nape - 304
Seleman-1
Rukia-5
Ismail-0
Malik-0
Janneth-3

Mtakuja B
Nape- 300
Selemani-0
Rukia-1
Mbani-0
Malik-1
Janneth-5

Mnara A
Nape-283
Selemani-2
Rukia-2
Mbani-3
Malik-0
Janneth-4

Mnara B
Nape-230
Selemani-1
Rukia-5
Mbani-3
Malik-0
Janneth-1
 
Bunda: Wasira Tyson "Baby" anaongoza kwa 400%
 
kakaa! Chadema hawatusumbui kwasababu akili zao sawa na nyumbu.

Mpaka sasa Chadema imepiga hatua 10 mbele na imerudi nyuma hatua 15 kwahyo wark done = 0.

Hawa jamaa nisawa na nyumbu alitangulia kurukia mton nyumbu mmoja ambaye n mbowe na wengne wakamfuata kama unavyowajua nyumbu wanavyorukiana sasa bahat mbaya mamba kawashtua sasa wamesambaratika kila nyumbu yupo kivyake..

Tuonane oct

Hujui hesabu hatua 10 mbele 15 nyuma halafu work done inakuaje 0????
 
Biharamulo..oscar rwegasira mkasa amembwaga kasazi na wengineo wa4
 
CCM wanafiki mafisadi no wao wenyewe kapu bovu eti Lowassa jamani muwe Na huruma
 
Iringa vp

Iringa Mjini

MTWIVILA

Mwakalebela 136
Dr Msigwa 8
Jesca -Mwenyekiti Mkoa 36
Mahamud Madenge 0
Frank Kibiki 0
Falecy Kibasa 3
Ado November Mwasongwe 3
Balozi Mahiga 6

MKWAWA

Mwakalebela 171
Jesca-Mwenyekiti Mkoa 68
Dr Msigwa 32
Falecy Kibasa 3
Mahamud Madenge 15
Balozi Mahiga 7
Frank Kibiki 2
Ado November Mwasongwe 9

HUYU MAMA, JESCA MSAMBAVANU, TIMU LOWASSA AMEHONGA SANA KWENYE UCHAGUZI HUU, NAONA WATU WAMEMKATAA

MMGL0225.jpg

Kushoto kwa Lowassa
 
Naomba kujua hali zao hawa wafuatao huko Majimboni kwao kama Wamepita???
Juma Nkamia
Asumpta Mshana
Anna Tibaijuka
Idd Azzan
Job Ndugai
Lusinde Kibajaji
 
Baadhi ya Matokeo Jimbo la Mtama
Mtakuja A
Nape - 304
Seleman-1
Rukia-5
Ismail-0
Malik-0
Janneth-3

Mtakuja B
Nape- 300
Selemani-0
Rukia-1
Mbani-0
Malik-1
Janneth-5

Mnara A
Nape-283
Selemani-2
Rukia-2
Mbani-3
Malik-0
Janneth-4

Mnara B
Nape-230
Selemani-1
Rukia-5
Mbani-3
Malik-0
Janneth-1

ameshindwaje sasa?
 
Back
Top Bottom