ARISTOTLE79
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 451
- 139
Singida Magharibi, Kingu kashinda kwa mbali
So Nyalandu OUT!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida Magharibi, Kingu kashinda kwa mbali
Mtoto nani? Hizi ID fake hizi unaweza jikuta unamuita baba yako mtoto, Kuwa makini dogo
Adam malima aangukia pua kura za maoni katika jimbo la mkuranga.
kakaa! Chadema hawatusumbui kwasababu akili zao sawa na nyumbu.
Mpaka sasa Chadema imepiga hatua 10 mbele na imerudi nyuma hatua 15 kwahyo wark done = 0.
Hawa jamaa nisawa na nyumbu alitangulia kurukia mton nyumbu mmoja ambaye n mbowe na wengne wakamfuata kama unavyowajua nyumbu wanavyorukiana sasa bahat mbaya mamba kawashtua sasa wamesambaratika kila nyumbu yupo kivyake..
Tuonane oct
Adam malima aangukia pua kura za maoni katika jimbo la mkuranga.
Iringa vp
Baadhi ya Matokeo Jimbo la Mtama
Mtakuja A
Nape - 304
Seleman-1
Rukia-5
Ismail-0
Malik-0
Janneth-3
Mtakuja B
Nape- 300
Selemani-0
Rukia-1
Mbani-0
Malik-1
Janneth-5
Mnara A
Nape-283
Selemani-2
Rukia-2
Mbani-3
Malik-0
Janneth-4
Mnara B
Nape-230
Selemani-1
Rukia-5
Mbani-3
Malik-0
Janneth-1
Huyu ndiye yule akiyekuwa DC igunga? Kama ndiye nakumbuka alikuwa team EL.