Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Katika hali iliyotegemewa na wananchi wa Kiteto kuona mbunge wa zamani Ben Ole Nangoro anashindwa,..... matokeo ya awali yanaonyesha kuwa maeneo kadhaa amepitwa kwa kura nyingi...

Anashindana na nani?
 
Hapa Jimbo la Magu, mshindi ni Mhe. Kiswaga, Boneventure Destery, aliyekuwa M/Kiti wa Halmashauri ua Wilaya ya Magu na Mjumbe wa NEC
 
Hivi Nape alikuwa anawaeleza nini wapiga kura? Maana mimi sijawahi kumsikia akiongea lolote la maana. Sijui huo ukatibu enezi aliupataje.
Kama kashindwa kweli sababu itakuwa..badala ya kutangaza na kunadi sera zake yeye alikuwa bize kuwashambulia CDM na Lowassa.
 
sadrudin sechadina kura 68,302 dr msigwa kura 42,500 mwakalebela kura 24,502 dr mahiga kura 7,303 jesca msavatangu kura 2,015 ado mwasongwe kura 1015

Hizo kura umezitoa wapi?toka lini kura za maoni ikawa na wapiga kura laki 2?nikukumbushe uchaguzi uliopita Iringa Mchungaji Msigwa alishinda kwa kura elfu 16.

Acha kuleta upuuzi wa kitoto.
 
Matokeo ya mtwara mjini na Lindi mjini waungwana
 
Back
Top Bottom