Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 274
Amos makala naye yupo taabani mvomero,sadiq murad anamgalagaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli tauongea siogopi matusi mkuu....Ukwel umeunena ila jiandae kutukamwa na misukule ya CCM.
jimbo la iringa mjini matokeo yakoje
Katika hali iliyotegemewa na wananchi wa Kiteto kuona mbunge wa zamani Ben Ole Nangoro anashindwa,..... matokeo ya awali yanaonyesha kuwa maeneo kadhaa amepitwa kwa kura nyingi...
sadrudin sechadina kura 68,302 dr msigwa kura 42,500 mwakalebela kura 24,502 dr mahiga kura 7,303 jesca msavatangu kura 2,015 ado mwasongwe kura 1015
Kama kashindwa kweli sababu itakuwa..badala ya kutangaza na kunadi sera zake yeye alikuwa bize kuwashambulia CDM na Lowassa.Hivi Nape alikuwa anawaeleza nini wapiga kura? Maana mimi sijawahi kumsikia akiongea lolote la maana. Sijui huo ukatibu enezi aliupataje.
sadrudin sechadina kura 68,302 dr msigwa kura 42,500 mwakalebela kura 24,502 dr mahiga kura 7,303 jesca msavatangu kura 2,015 ado mwasongwe kura 1015
Duuu, kura za maoni tu wapiga kura walikuwa zaidi ya laki?
Kama kashindwa kweli sababu itakuwa..badala ya kutangaza na kunadi sera zake yeye alikuwa bize kuwashambulia CDM na Lowassa.
Lukuvi kapita kwa 85%Lukuvi hali tete isimani
Unamkumbuka Daniel Nsanzugwanko kasulu mini?
Mkuu mikumi Hali ikoje hapo nasikia ni jino kwa jinoAmos makala naye yupo taabani mvomero,sadiq murad anamgalagaza