Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

huyu jamaa mwingo sana hakuna mgombe anaitwa sadrudin sachedina kakogembea iringa mjini ila mwakalebela kashinda kura za maoni iringa mjini

Una idadi ya kura?maana yule Mama alikuwa anahonga sana
 
Jimbo la mikumi wa ungwana tujue Nani atavimbishana kifua Na Professa J wa mitulinga
 
Jimbo la Tabora kaskazini..Kata Nne JOSEPH KIDAHA ameongoza kwa kura nyingi sana akifuatiwa na ALMAS ATHMAN MAIGE huku mtetezi wa jimbo ndungu SHAFFIN SUMA akipulia mashine hali ni tete..

safiii
 
Wewe ndiye mjinga kuliko maCCM yote ..hapo nilipokoleza ni physics ya wapi au ndo ktk wale wanaofikiri kwa Masaburi au ndo akili zile za kina Nepi.




Mkuu huyu mtoto sijui nani kamuambia awe anashinda jukwaa la siasa, hua anaandika kule MMU "aibu naona mimi" tabia hizi ni za kike, na ndio maana umeona pumba zake.
 
hamisi.jpg
Bukoba mjini
1.Hamisi Kagasheki 6,971
2.Amani Anatory 944
3.George Rubaiyuka 113
4.Kaijage 71
5.Joseph Mujuni Kataraia 53
6.Katabazi 34
7.Rwezaula 7
8.Lukomoka 3
Bukoba Vijijini
Jason Rweikiza kawasambaratisha Nazir Karamagi
na Nelson Itagasa
 
Jimbo la BUSOKELO vipi jamani,
nataka kujua huyu afisa elimu kakatwa au?
 
Karamagi pamoja na kutimia fedha nyingi kuwarubuni wapiga kura bado amebwagwa na Mhe Rweikiza kwa zaidi ya kura 9000.Bukoba vijijini
 
CHIKAWE chaliiiiiii Nachingwea. hatimae waziri wa mambo ya ndani bwana matiasi chikawe ameangukia pua kura za maoni Nachingwea. mshindi Ni ndg. Masala ambae ni mkuu wa wilaya ya kibondo. ikumbukwe chikawe alitoa rushwa ya pikpk 34 kwa viongozi wa ccm kata zote 34, na aligawa ile sabuni ya roho lakini bado ameangukia pua.
 
Mkuu huyu mtoto sijui nani kamuambia awe anashinda jukwaa la siasa, hua anaandika kule MMU "aibu naona mimi" tabia hizi ni za kike, na ndio maana umeona pumba zake.

tulia ww, aibu unaona ww unanijua?
Waonee aibu ndg zako.
 
Back
Top Bottom