mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,725
- 2,703
Wakuu
Jimbo la NAMTUMBO kwa VITA KAWAWA. Mwenye habar tafadhali
Jimbo la NAMTUMBO kwa VITA KAWAWA. Mwenye habar tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issa Samma ni hakika au tetesi?
Davis Mosha kashinda
Davis Mosha kashinda
My favorite... ingawaje sitoki Musoma na wala sina ukaribu wowote na kanda ya ziwa achilia mbali Mara au Musoma yenyewe but Muhongo is may favorite na nilimataka aende pale Magogoni though I know alichukua form za urais purposely kwa ajili ya publicity towards ubunge! Nitarudi ku-confirm baadae coz' nilikuja kwenye huu uzi only to look for Muhongo's progress!Safi hii, turudishieni jembe hili kwenye harakati za kuikomboa tanzania kimaendeleo
nyamagana na ilemela vp?
Matokeo vipi kwa majimbo ya handeni vijijini,same Mashaliki
& magharibi ...?
Moshi vijijini je
Assumpta alijisahau sana
Filikunjombe ni mbunge wa njombe au ludewa... Au ndio mambo ya majimbo mapya