Williedm
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 505
- 138
Msigwa huko Iringa vip?
Msigwa sijasikia ila nasikia atapambana na chaguo la watu wa iringa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msigwa huko Iringa vip?
Wanyakyusa wanagombea kuwaongoza wahehe! Wahehe mko wapi mnaachiaje eneo binge lenu kijinga jinga namna hii
Kazi aliyopiga Msigwa hata agombee Mwakalebela na baba yako mzazi kama mgombea mwenza,hawashindi hata kwa kura 1
Msigwa sijasikia ila nasikia atapambana na chaguo la watu wa iringa
mbona Jerry huko twitter anajidani kuwa kaongoza karbia kata 8 kati ya 13;;;
Source: account yake ya twitter
Wanyakyusa wanagombea kuwaongoza wahehe! Wahehe mko wapi mnaachiaje eneo binge lenu kijinga jinga namna hii
wale jamaa wa escrow wote wameshinda uchaguzi ndani ya ccm
1. prof Anna Tibaijuka
2. Prof Sospeter Muhongo
3. William Ngeleja
4. Andrew Chenge
5.n.k
Jamani mwenye habari za Chami Moshi Vijijini na Mjini.