Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

2010 alishinda kama alivyoshinda sasa akakatwa na Kamati Kuu? Una uhakika gani kama Uchaguzi hatakatwa tena?
 
Mwigulu na Nape wamepiga goli la mkono. Tiyari pingamizi kwa Nape na Huyu dikiteta wa Iramba uchaguzi unarudiwa kata 4. Kura zilikuwa zimepigwa indavance. Tena ktk kundi la stakabadhi bila hata kuachanishwa/kuchanwa.

Pia goli la mkono limetumiwa Tarime Vijijini (Nyambari Nyangwine) na Tarime Mjini (Gaudencia Kabaka-Waziri wa ajira). Nao kura walijipigia indvance ktk masanduku. Ktk mfumo ule ule - rundo yaani kama stakabadhi!

CCM huu ni uchaguzi au ni Uchangudoa?
 
wale jamaa wa escrow wote wameshinda uchaguzi ndani ya ccm

1. prof Anna Tibaijuka
2. Prof Sospeter Muhongo
3. William Ngeleja
4. Andrew Chenge
5.n.k
 
mbona Jerry huko twitter anajidani kuwa kaongoza karbia kata 8 kati ya 13;;;
Source: account yake ya twitter

Ushindi hautokani na idadi ya kata mtu alizoshinda, bali kura alizopata. Unaweza kuongoza hata kata 9/10 kwa jumla ya tofauti ya kura 20 then mwenzio akachuku kata 1/10 tu akafidia hizo kura 20 zako na nyongeza juu
 
Hapa iringa..mwakalebela kaisha kabisa .....nilikua naangalia wakati anajiuza yaan watu walikuwa wachache sanaaas
 
wale jamaa wa escrow wote wameshinda uchaguzi ndani ya ccm

1. prof Anna Tibaijuka
2. Prof Sospeter Muhongo
3. William Ngeleja
4. Andrew Chenge
5.n.k

Hayo mabingwa wa ufisadi watapata habari yao ifikapo October 25
 
Back
Top Bottom