Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Pole classmate wangu Mtela aka Ganzi enzi za mbeya secondary. Hiyo ndo zawadi ya usaliti. Vp Mwigulu hajakupiga tafu? Au ndo alikukopa hiyo ml 6 then ukiingia mjengoni utamlipa... kwi kwi kwiiiii
 
Mkuu hata yeye anaweza kutumia njia mbadala.Unajuaeje mpaka hapo kama hajatumia?

Aaaaaaaaaa, angetumia wangemuonea huruma kura zifike hata 10 jamani, milioni sita aweke na mtandao juu, si kazi ndogo ujue.
 
Tamaa nayo ilivyombaya badala ya million 2 kumpa mwingine ili afikishe kura 4. Kala yeye kalipa milion 2 kwa watu wa2=4 jumlisha yeye wakawa 3. Sheeeda
 
Safi sana hiyo ndio dawa ya wasaliti akaendelee kumpigia kampeni mwigulu maana akuna na kwa kuwa mtoto Wa kiume akuna plan b ya ubunge mwenzie angepewa viti malum
 
hizo kura Ni za baba take, Shangazi take, bibi yake..RIH Mwampamba.
 
Mjye ni mzaliwa Wa iringa na nimesoma iringa Kwa hyo naijua iringa Kwa mud a mrefu sasa kingine so cha kujisifu nimeanza kushiriki siasa enzi za mrema manna mzee wangu alikuwa karibu naye kweli.Kwa hyo naongea nikiwa natafakuri kubwa Sana huwez sema mwakalebela atashinda iringa mjini hyo n ndoto za mchana kabsa maana wakat na majira yalishakwisha kupita saizi n mChungaji na wanna iringaa maana tumeona meng ambayo kafanya kama unaijua Barbara za mitaa kibao manispaa sasa n rami maji yamefika mpaka nduli karibu kabsa Kwa bwana lukuvi hivyo msigwa kafanya.Kubwa Kwa yote ameweza kubadilisha mtazamo Mkubwa Wa watu Wa iringaa so huyo afisa habar Wa za man mwambie akae ajipange na aende tu hukohuko wilayani waliko mteua maana we are tired of CCM aisee

Kwanza kuandika hujui na inaonyesha elimu yako ni ya mashaka mashaka.
Barabara gani ya mtaa ambayo Msigwa kaweka lami? Unajua kile kipande cha lami cha urefu wa 900m toka mwanyingo mpaka kwa shayo alichojenga mkandarasi Gamba pesa imetoka wapi? Hata msigwa mwenyewe alikuwa hajui nini kinaendelea.
Kipande toka kihesa sokoni mpaka semtema kilijengwa enzi za mama Mbega ingawa hakujenga yeye pia.
Pale kwenye junction ya bwawani kwenda mkimbizi palikuwa pabovu sana kabla ya wachina wa iringa-dodoma highway construction project hawajajenga daraja, wananchi wa maeneo yale walimuomba Msigwa awajengee daraja ikizingatia na yeye msigwa anaishi maeneo hayohayo,Msigwa akawajibu wananchi kwamba sio kazi yake.

Msigwa hapa iringa hajafanya lolote hata la kipuuzi hajafanya achilia mbali la maana.
Mwenye ushahidi hata wa maneno tu alete.
 
Mwampamba alijilinganisha na Juliana, wakati july anamiliki kitu kitamu ndo kinachompa jeuri, hamna jinsi aende zake mbarali akalime mpunga.
 
CCM ni chama cha mafisadi, lakini kwa bahati mbaya huwa hawakumbatii wasaliti na makapi yanayohama chama! Pole sana Mwampamba...

Nimefurahi sana maana hakuna namna nyingine zaidi ya kumuombea njaa adui yako!
 
wenye matokeo ya ubunge singida mjini na manyoni mashariki
 
Mwakalebela wako asidhani Iringa ni pale Ambiance Club Corner Bar anakojulikana na kila changudoa. Ingekua anagombea ubunge wa pale angepita bila kupingwa.

Kwanza Msigwa anashikilia record ya kutoa hotuba bora kabisa bungeni ambayo haijapata mpinzani mpaka leo

Pumbaff thaana,eti hotuba bora.!!!!
Huyo ndo mtanzania katika ubora wake
 
Ismail Rage
Shekiffu
Asumpta Mshama
Wabunge hawa waliona wajibu wao bungeni sio kuwawakilisha watu bali kuitetea CCM kwa nguvu zote hata pale inapokosea na kuwakandamiza walio wachagua. Lakini wenye chama wameona hiyo sio kazi waliyowatuma na wamewanyima kura kuwakataa.
Jee wengine wamejifunza kuwa kutetea chama bungeni sio wajibu wa mbunge?
 
Mwampamba nadhani alikua anagombea jimbo la Vwawa na sio Mbozi. Hayo ni majimbo mawili tofauti sasa.
 
Back
Top Bottom