Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Atapata kaz kufanya kampeni, haf wamasai waongozwe n mwanamke? Tena lowasa yuko ukawa, hilo sahau
 
Mtera Mwampamba ni kama sisimizi,Usitukane mamba kabla hujavuka mto,Ona sasa unavyokua condom!hiyo ndio CCM!
 
Hilo Jimbo Kwa Mahesabu Ya Namba Limeshachuliwa Na Ukawa, Nomber Is Not Lie
 
Unaposema membe unazungumzia serkal ya jakaya, fact no change ila ni walewale asira ya watanzania. Pevuka kijana acha kutetea upuuz ata kama baba yako mwekit wa serikal ya mtaa "naiman na ukawa na ndio tumain langu"

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Atapata kaz kufanya kampeni, haf wamasai waongozwe n mwanamke? Tena lowasa yuko ukawa, hilo sahau

Acha unyanyasaji wa kijinsia wewe kwani mwanamke hawezi? Lolote unalosema na kudhani juu ya mwanamke,jua inamrudia mama yako,dada yako na shangazi yako.
 
Ismail Rage
Shekiffu
Asumpta Mshama
Wabunge hawa waliona wajibu wao bungeni sio kuwawakilisha watu bali kuitetea CCM kwa nguvu zote hata pale inapokosea na kuwakandamiza walio wachagua. Lakini wenye chama wameona hiyo sio kazi waliyowatuma na wamewanyima kura kuwakataa.
Jee wengine wamejifunza kuwa kutetea chama bungeni sio wajibu wa mbunge?

Wabunge wengi wa CCM hawajui na hawakusoma.uraia/CIVICS.Kiukweli CIVICS FORM II INAELEZA KAZI ZA MBUNGE NA BUNGE
 
Friends Of Hon.Membe wapeta nafasi za ubunge.

Katika hali ya ushindani wa makundi hasimu ya kambi za urais ndani ya Ccm hadi sasa kundi la Bernard Membe limeonesha kung'ara dhidi ya kundi la Edward Lowassa.

Ushindi mkubwa unaovunja rekodi waliopata marafiki na mashabiki wa Bernard Membe kwenye kura za maoni nafasi za ubunge umezidi kuwaumiza vichwa marafiki na wapambe wa Edward Lowassa walioangukia pua.

Baadhi ya makada waliopo kwenye kambi ya Bernard Membe wameangusha "mibuyu" iliyojimilikisha majimbo na vyeo ndani ya Ccm kwa kutumia hela chafu.

Mmoja wa wanachama wa Ccm alisema,"Bernard Membe kasaidia kusafisha uozo kwenye chama.Wachafu waliomuunga mkono Edward Lowassa waanguka na kuhamia upinzani na waliobaki wamekosa dira na sasa wanasubiri huruma ya Ccm.Bernard Membe anazungukwa na waadilifu.Waliomuunga mkono ilikuwa lazima washinde kutokana na ukweli kwamba wana dhamira ya kusaidia nchi kama aliyonayo Bernard Membe mwenyewe ambaye pamoja na kukosa urais ila bado anaheshimu maamuzi na kukiheshimu Ccm".

Baadhi ya makada wanaomsapoti Bernard Membe na walioangusha "mibuyu" ya ufisadi iliyokuwa na Edward Lowassa ni Bona Kaluwa aliyemwangusha Dk.Makongoro Mahanga,Dc Masala aliyemwangusha Mathias Chikawe,Aboubakar Asenga aliyemwangusha Abdul Mteketa,Mnec Miraji aliyemwangusha Pereira Ame Silima na Nape Nnauye aliyemwangusha Suleiman Mathew.

Kwa uchache tu hapa imedhihirika Bernard Membe ana nguvu kuliko Edward Lowassa.Mzizi wa fitina umekatwa na bado matokeo mengine yapo loading.....tutazidi kuwaletea!



Umemssahau kiranja Mkuu wa Membe, Ridhiwani Jakaya
 
Hivi hawa jamaaa wanaojifanya wanaipenda sana CCM wanaingia kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni halafu washindwa kutoa rushwa ya kutosha kama mfumo wa CCM unavyotaka, baadae wanashindwa vibaya halafu eti wanajifanya wamechukizwa na ccm, wakati wanajua ndiyo tabia yako siku zoote, miaka yoote, halafu eti wanakuja UKAWA. Mf Dr. Makongoro Mahanga!Hivi huyu atatusaidia nin UKAWA?

Mkuu, huyo Maganga anakuja kama mwanachama tuu. Msaada wake kwa Ukawa ni kura yake, mkewe, wanawe na marafiki zake wote. Kura hizo tunazihitaji sana.
 
Back
Top Bottom