Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Dk 30

Misri 0 - 0 Tanzania
 
Taifa Stars sijui hawajakula, wakiguswa tu wanapepea watu wanachukua mpira.
 
nawatakia kilala kheri misri funga Taifa stars 6~0

naona hujataka unafiki na uzandiki na umeamua " kufunguka " mkuu. vizuri sana na nimependa huu ujasiri wako kwani hupendi unafiki.
 
Yani hapa tupack Yutong kama mbili kabisa golini!
 
Hakuna maandalizi yoyote ya maana, timu inaenda kucheza kama imekurupushwa usingizini. Tusitegemee matokeo mengine yoyote tofauti na kichapo.
 
Huyu mohammed salah anasumbua sana beki zetu

na kuna uwezekano mkubwa huyo mchezaji akatua unyamani " simba sports club ". sipati picha huku okwi, mavugo, mgosi na salah. goli ndogo sana ambazo timu pinzani zitakuwa zinafungwa ni 7 au 8 ila kwa yanga wakijitahidi sana watapigwa kati ya goli 11 au 13. kwakuwa kaburu yupo ktk msafara najua atamalizana nae tu kwani hata mchezaji mwenyewe ana mahaba na mnyama.
 
Dk 36

Dida yupo chini tena...

Huenda ni ujanja wa kupunguza kasi ya Misri
 

Atoke Seria A ligi ya 4 kwa ubora duniani aje kucheza ligi isiyo na namba ya bongo? Jiliwaze
 
Sijui anawapunguza kasi au anaumia kweli???

Ujanja huo kaka wa kuwapunguza kasi...

Hii kitu alikuwa anaifanya sana Mwameja na hata baadaye Kaseja...
 
Viungo wa Tanzania Kiemba, Kazimoto na Mkude ni kama hawapo...

Hadi sasa sijamuona Samatta wala Ulimwengu wamegusa mpira...

acha uwongo wewe huoni mkude anavyohangaika hapo katikati na anavyojitahidi kupandisha timu? ningeshauri kocha awatoe akina kiemba na kazimoto na awaingize abdi banda na kama said ndemla angekuwepo ktk bench basi angeingia kwa nafasi ya kazimoto. taifa stars ikichezesha viungo 3 tu wa simba sports club tegemeeni timu ya taifa kuibuka na ushindi katika kila mechi. sema kocha tu na mapoyoyo wengine baadhi hawalijui hili!
 
Dk 40

Misri 0 - 0 Tanz
 
Kiemba anapiga shuti kali na linatoka sentimeta chache nje ya goli...

Shuti la kwanza la ukweli...
 
Naona kiemba anaonyesha kiwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…