Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
-
- #281
Mwanao sanaEwaaaaa KR MULLAH Jibaba Muziki Mkubwa CD 700๐ ๐ ๐
Nimecheka sana๐TMK mbona kama wana vibe. Hawa niliwahi shindana nikacheza staili yao ya mapanga ili nipewe soda. Sikupewa nilidhurumiwa.
Jamaa kazeeka balaaaBabu KR ๐ฅ๐น๐น
Anazingua snaaBaba Levo amwache Juma aimbe aache kuchombeza
Ila anakata mapanga kawazidi watoto wadogo vijanaJamaa kazeeka balaaa
Nature mwenyewe kuimba haweziBaba Levo amwache Juma aimbe aache kuchombeza
Hawanaga shughuli ndogoTmk wanaume wameiteka shoo
NakaaziaShow imeishaaa wazee apo watakaokuja wajipangeee