UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

nakumbuka enzi hizo mabishoo walikuwa wanaenda kukodisha pamba (bling bling)

Ubishoo ilikuwa lazima uwe angalau unatokea familia flani chapaa ipo. Nakumbuka Jeans tulikuwa tunanunua 15k miaka ile. 😊
Nakumbuka nilikuwa napiga mizinga sana ya tuisheni ninunue pamba.
Kuna kiatu kimoja nilinunua wezi wakaniibia siku hiyo hiyo, LUGZ.
 
Ilichukua muda sana ku-heal hilo tukio bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…