Hata wewe kuna lifestyle yako uko nayo unaipenda tu basi kama sio bendera fuata upepo, yaani kila mtu ana kile anakipenda na anaona ni sahihi kuwa kama yeye alivyo. Hata kwa Temba mi namuelewa anapenda vile alivyo mkuu life is too short ni ngumu kuwaridhisha walimwenguYaani Temba mambo yake
Hadi kwenye msiba wa yule mdogo wake waliyemkata kichwa
Alienda na Toothpick
Na uzee wote bado ameng'ang'ana na mitoothpick
Mimi napenda tu style yake ya kuimba TembaHata wewe kuna lifestyle yako uko nayo unaipenda tu basi kama sio bendera fuata upepo, yaani kila mtu ana kile anakipenda na anaona ni sahihi kuwa kama yeye alivyo. Hata kwa Temba mi namuelewa anapenda vile alivyo mkuu life is too short ni ngumu kuwaridhisha walimwengu
Kuna ule wimbo aliimba na Ray C, Nipe Mimi. Temba alitisha sana.Mimi napenda tu style yake ya kuimba Temba
Na alivyokuwa tall
Mkali sana uleKuna ule wimbo aliimba na Ray C, Nipe Mimi. Temba alitisha sana.
Kuna wasanii hawajaimba chochote zaidi ya kusema tu piga malori sisikii kelele
Kaka ndegeYeah, lile tamasha la wasanii wa zamani hata ukiangalia na watoto wako unakuwa huru. Haina ukakasi mwingi.
Nilikoshwa na east coast team, GK At,FANoma sana kaka. Vipi jana waweka msingi wa bongo flava walikukosha?
Naam kaka.Kaka ndege
Mimi TMk.Nilikoshwa na east coast team, GK At,FA