UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

Wanasiasa wajifunze ,watu washachoka na hii serikali ,mmewaumiza sana mioyo yao! Hawataki kusikia mambo ya serikali hii ya awamu ya 6 huku ikiua raia.

Bora babu Tale na Madee wamemshauri Mwana Fa aachane na kuongelea siasa aije akaharibu Show.

Sugu aliona mbali sana kwenye Bongo Flava Honour kumkatalia RC chalamila kuongelea siasa naona Mwana FA kaona impact yake.
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…