GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Bonanza limepoa sana kama ugali wa jana mkaona ni heri mfuatilie kibegi na jezi mpya za simbaZimepooza sana, hiyo ya blue utasema ni ya lambalamba. Ubunifu bado. Ukichukua ile ya Yanga ya kudariziwa na hizi za leo zote ๐ฎ
Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.Zimepooza sana, hiyo ya blue utasema ni ya lambalamba. Ubunifu bado. Ukichukua ile ya Yanga ya kudariziwa na hizi za leo zote ๐ฎ
Kote duniani jezi rangi za team zinajulikana. Binafsi napenda jezi iwe kama hivi, sio jezi ina makorokoro kibao kama kanga za ccm.Zimepooza sana, hiyo ya blue utasema ni ya lambalamba. Ubunifu bado. Ukichukua ile ya Yanga ya kudariziwa na hizi za leo zote ๐ฎ
Sure mkuu... Yaani mpaka inaboa. Jezi haitaki makorokocho mengi ni vile uzwa zwa wa waswahili tazama hata vilabu vingi vya ulaya jezi huwa hazina makorokocho mengi.Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.
Hicho mnachokitaka nyinyi ndio matokeo yake jersey inakuwa kama mashati ya vitenge ama batiki(ile nyeusi ya Yanga), jersey kuwa makorokoro mengi yanayoomba ufafanuzi ni ujinga.
Angalieni hata jersey za nje basi..!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!Jezi za kawaida sana
Ukweli usemwe designer anawahujumuJezi za kawaida sana
Hata zenu ni mbovu tena bora zetuUkweli usemwe designer anawahujumu
Dj lete maneno!!!!!!!!!!!!!!Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Jezi sio mbaya, ila pia haina maajabu. Haina uspesho wala utofauti wowote na jezi za misimu iliyopita. Hiyo ya blue, ni azam mtupu!
Jezi ya bluu imefanana na ya Azam by coincidence tuMsema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Jezi sio mbaya, ila pia haina maajabu. Haina uspesho wala utofauti wowote na jezi za misimu iliyopita. Hiyo ya blue, ni azam mtupu!
Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.
Hicho mnachokitaka nyinyi ndio matokeo yake jersey inakuwa kama mashati ya vitenge ama batiki(ile nyeusi ya Yanga), jersey kuwa makorokoro mengi yanayoomba ufafanuzi ni ujinga.
Angalieni hata jersey za nje basi..!
Sasa umeandika nini? Mac Alpho mimi ni Yanga naipenda kufa, ila nilikosoa walivyodarizi.Jersey hazihitaji ubunifu uliopita kiasi zaidi ya mipangilio ya rangi, mikato na material.
Hicho mnachokitaka nyinyi ndio matokeo yake jersey inakuwa kama mashati ya vitenge ama batiki(ile nyeusi ya Yanga), jersey kuwa makorokoro mengi yanayoomba ufafanuzi ni ujinga.
Angalieni hata jersey za nje basi..!
Alone.........๐๐
Hamkosekani...one in a millionKama tuliishaitumia...tunahitaji ubunifu na mabadiliko katika jezi. I had over expectation about new Jersey now I'm disappointed a bit.
Hamkosekani...one in a million.
..ni kama marudio. Mimi ni Simba lakini Kwa aliye design nadhani ametukosea Wana Simba.