Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Mjeda kwanza haitakiwi umletee ubabe raia. Inatakiwa u take pride kumlinda mwananchi na maadui wa nje ya nchi. Awe salama achape kazi Pato la Taifa lipatikane alipe Kodi na wewe ulipwe. Sasa kuwa mjeda unataka uabudiwe ama uogopwe ndio shida ilipo. Heshima inakuja yenyewe tu
 
Hivi wale wapiga debe wa kawe mkwamani na kawe tanganyika packers bado wapo ?
Wale ndiyo chanzo cha wizi wa kawe .
Vilevile kuna asilimia kubwa ya Bajaji na Bodaboda wanashirikiana na wezi au wao vilevile ni wezi .
Huyo dogo atakuwa anatumia bangi au ni mwizi
sion haja ya yote haya , wkt mweny kosa ni mjeshi
 
Back
Top Bottom