babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Ataliwa kiboga na uhidaya wakeHuyo hidaya mwache ajichanganye kwa baharia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataliwa kiboga na uhidaya wakeHuyo hidaya mwache ajichanganye kwa baharia
Hakuna muda maarumu ila kitafika kimechoka sanaHicho kimbunga kitafika saa ngapi?
Watanzania wengi ni mental case, tena very serious.Pamoja na Angalizo la Uwepo wa kimbunga Hidaya bado leo maeneo yaliyotajwa kuna Mbwiga zimepaki gari kibao chini ya Miti. Tujifunze kuchukua tahadhari wajuba.
zima moto wamejipangaje?Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
====
Pia soma: TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara
Kinakuja kwa kasi![]()
Tropical Cyclone Hidaya 2024 | Zoom Earth
Satellite images, weather maps and tracks of Tropical Cyclone Hidaya 2024, 1 - 4 May. Max wind speed 150km/h.zoom.earth
Nchi hii imejaa wajng wengi sanaPamoja na Angalizo la Uwepo wa kimbunga Hidaya bado leo maeneo yaliyotajwa kuna Mbwiga zimepaki gari kibao chini ya Miti. Tujifunze kuchukua tahadhari wajuba.
Ewe Mwenyezi Mungu kipitishie mbali kwani Pwani zote za Bahari ya Hindi nina Familia hivyo Bahari iseje tu ikawabeba.
Tanga upepo upo kwa mbaaali ni WA KAWAIDA tuWakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
====
Pia soma: TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara