Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo dhambi kwa sababu hawamaanishi kubashiri au kutabiri kule tunakokujua sisi bali wanapima kwa vipimo vya kitaalamu. Kama ilivyo vitu vya mwanadamu haviko perfect na ndiyo maana hata wakati mwingine wanasema hivi kisha inatokea vingine au tofauti kidogo, muda mwingine wanasema itakuwa hivi kisha baada ya muda kabla haijawa wanasema tena itakuwa vingine nk.
Hamia Dodoma,tabora,katavi,sumbawanga etc!Kweli aisee. Mie jana sikulala vyema, nilidhani minazi itaangukia nyumba mweeh. Na umeme wakauzima. Kuna mda niliskia kwa mbaali vishindo nikajua kuna bati lishaezuka mahali
Hali ni shwari hapa nilipo hakuna upepo wa kutisha yani kumepoa kama hamna jambo linalokuja, japo kipo karibu sanaUpdate?
Madhara kiasi ganiMafia kimeleta madhara
Nafikiri hapo maana ni moja mkuuKubashiri hali ya Hewa××
Kutabiri hali ya Hewa✓✓
Mmmmh!Kazi hipo.Hiki kimbunga kinatoa Sauti kama za barmude triangle
Na hilo jina la kimbunga wamelitoa Ufaransa...yani ufaransa ndo mekiita hivyo hiko kimbunga...itakua tabia ya huyo hidaya ilikua kama ya kimbunga..Nimemkumbuka Pepe kalle Hidaya
Tunaomba akiliza kiutu uzima, niko palee nasubiri.Akili za kitoto hizi unadhani Mungu ni mwanasiasa?
Astakafilular mswalie Mtume mkuu taratibuBado hakijafuka tu? Natamani kipige kama cha Dubai
Wanaharakati wa twitter washaishikilia bango 🤣 wengi hawahakikishi taarifaYeah, for data validity.
Ila kuna wakati muda haukurusu kabisa, unashtukizwa tu na kitu kizito.
Hii picha ya kuedit ipo humu toka asubuhu