Upendeleo wa Rais kwa Yanga unakwenda kuisambaratisha Yanga vipande (inafungwa na USM)

Jambo lolote linaloihujumu timu kisaikolojia siyo jambo dogo mkuu! Ni bora kutokutoa kabisa motisha kama haina uhalisia
 
Kuna watu unaweza kuwa unawaheshimu bila kujua ni Wapuuzi.
 
Niliangakia kwenye ukurasa wa usm alger walikuwa wanasema sana kuhusu Tanzania,haya mambo ya kufika fainali yanaitangaza nchi kuliko watu wanavyodhani
 
Wewe sio mgawa bahati,a.k.a riski kikwetu kwetu,πŸ˜‚Kwanza unaamini katika ubaguzi na kutokubali usawa,pia inaonyesha weye 🦁.Halafu unaionea yanga wivu,na pia wewe na simba yako mnajikweza na kutaka kujiona bora kwa aina ya mashindanouliyoshiriki.Sii kweli Kuwa yanga amependelewa,ila 🦁 hakufikia viwango vya kufaidi offer ya Mama,na hivyo mmeingia unyonge wenyewe, πŸ€”
 
Soma uelewe! Principal huwa haidanganyi!
 
Aisee Jamii Forum ina watu wa kila namna [emoji2][emoji2][emoji2]
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Hahahah
 
Hi..haterπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Irene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…