- Thread starter
- #41
Jambo lolote linaloihujumu timu kisaikolojia siyo jambo dogo mkuu! Ni bora kutokutoa kabisa motisha kama haina uhalisiaKikubwa wamefika fainali, ni nje ya malengo yao kabisa.
Hata wao hawakutegemea kufika hapo walipofika. Simba mnapapatuka bila sababu.
Goli ni goli tu haijalishi upo mashindano gani, angeongeza dau kwa simba bado yanga wangelalama tu.
Punguzeni ujuaji wa kijinga aisee mambo madogo tu haya mtu analalamika hatari.
Hiyo 10 M per goal ni kitu gani kwa timu yenye watu zaidi ya 30, watagawana vipi kama sio lakilaki tu ama wale msosi na kunywa.