barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Ni la saba ila kapiga elimu za hapa na pale hivyo kajisogeza kidogo upstairs.Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye cv yake.
She looks smart upstairs,, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma?? Siamini.
Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7..nikadhani ugomvi binafsi. Nimeshindwa kuweka hiyo link humu
Alimmaliza form six Green Acres DSM 2007.Akisoma sayansa,PCB.Baada ya hapo siku alienda wapi?Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.
She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.
Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.
Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
Form six,nilimfundisha Green Acres DsmKwa kumbukumbu zangu katika episode moja ya maishaplus niliwahi msikia akigusia suala la kwenda kusoma open university so it's obvious atakuwa at least kamaliza form four
Wee muongo humjuiNi la saba ila kapiga elimu za hapa na pale hivyo kajisogeza kidogo upstairs.
Wee unauemjua tuambie?? Elimu yake kama kajisogeza ni ile ya QT.Wee muongo humjui
Hata angekuwa darasa la pili c swala ni kwamba jeee? Anaelimu ya uraia kichwani au na yeye mbumbumbu kama ma Dr wetu wengi? Elimu ya cheti ni 0 kama hakuna elimu kichwan , usomi wa makaratasi hauwwzi ku determine kiwango cha ukimavu wa fikrawa mtuu , na walio liingiza taifa hasara ndio hao hao wanao jiita wasomi wa vyeti , idiotKuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.
She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.
Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.
Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
Upendo Peneza alimaliza kidato cha sita Green Acres Dsm 2007.Wee unauemjua tuambie?? Elimu yake kama kajisogeza ni ile ya QT.
Alipata division ngapi?? Nimeperuse 2007 Green Acres results za ACSE sijaona kitu.Upende Peneza alimaliza kidato cha sita Green Acres Dsm 2007.
Wewe ni muongo,Upendo Peneza nilimfundisha Green Acres ,alisoma PCB 2007.Muulize Julian Bujugo mmiliki wa shule.Nakumbuka tukisoma nae pale Mwanza Baptist secondary . mie nikaacha shule . yeye alitakiwa amalize kidato cha nne mwaka 2006
Hao jamaa walinichekesha sana kwenye ile interview waliyoifanya kwenye kituo cha KTN nchini Kenya.Na anaonekana msomi kwa kiwango cha elimu kwa wabunge wengi wa Chadema mfano Mbowe,Sugu,Kubenea, Lema nk.In short hamna mkataba wa kiingereza unaosainiwa chadema bila kuupitia Upendo kwanza
Hiyo sikumbuka maana Kitambo sana, ila haikuwa div.one.Alipata division ngapi??
Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.
She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.
Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.
Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
Wanamshinda AKICHWARI?Hao jamaa walinichekesha sana kwenye ile interview waliyoifanya kwenye kituo cha KTN nchini Kenya.
Baadhi ya maneno mtangazaji alikua anakosea lakini wabunge walishindwa kurekebisha. Ha ha ha
Angalia vizuri,tena ni majina,usikurupukeAlipata division ngapi?? Nimeperuse 2007 Green Acres results za ACSE sijaona kitu.
Huwezi kumchumbia hana cheti cha kidato cha nne.Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.
She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.
Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.
Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.