Jay master
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 716
- 805
Hao uliowataja wote Hamna kitu,,,labda January makamba ndio yupo vizuriUpande huu lugha imelala ,cabinet pekee ina degree 107 kwa ujumla,Magu,Kabudi,Mpango,Makame,NDALICHAKO,Mwigulu the list goes on and on
Hao jamaa walinichekesha sana kwenye ile interview waliyoifanya kwenye kituo cha KTN nchini Kenya.
Baadhi ya maneno mtangazaji alikua anakosea lakini wabunge walishindwa kurekebisha. Ha ha ha
Wengine elimu tuliyonayo imetufikisha mbali sana kwenye kupambanua mambo.hivi elimu ya bongo zaidi ya kujua kusoma na kuandika inatusaidia nini zaidi?
Alipata division ngapi?? Nimeperuse 2007 Green Acres results za ACSE sijaona kitu.
Point yako ni nini haswa??Matokeo yake wewe yanakusaidia nini??
Tazama matendo yake kama ni ya kisomi inatosha?
Hata Ukiwa na PHD lakini ukiwa unafanya mambo ya kijinga elimu inakuwa haijakusaidia kitu
Eti???? WhatNa anaonekana msomi kwa kiwango cha elimu kwa wabunge wengi wa Chadema mfano Mbowe,Sugu,Kubenea, Lema nk.In short hamna mkataba wa kiingereza unaosainiwa chadema bila kuupitia Upendo kwanza
Umewasahau Kibajaji, Msukuma, Deo SangaNa anaonekana msomi kwa kiwango cha elimu kwa wabunge wengi wa Chadema mfano Mbowe,Sugu,Kubenea, Lema nk.In short hamna mkataba wa kiingereza unaosainiwa chadema bila kuupitia Upendo kwanza
Nyote ni hao hao na wewe. michango yako humu inaonyesha hata kama una University education/credentials ni kutoka vyuo vya kata... a very very low reasoning!Ni la saba ila kapiga elimu za hapa na pale hivyo kajisogeza kidogo upstairs.
Ungepita kimya ningekuelewa, uko more dense zaidi, ila hujui hilo.Nyote ni hao hao na wewe. michango yako humu inaonyesha hata kama una University education/credentials ni kutoka vyuo vya kata... a very very low reasoning!
sawa napita...... sitarudi tenaUngepita kimya ningekuelewa, uko more dense zaidi, ila hujui hilo.
bashite ni mbunifu wa kitu gani-ubunifu ni ideas kwa mazingira ya kidunia ya sasa huna elimu huwezi kuwa mbunifuHata angekuwa darasa la pili c swala ni kwamba jeee? Anaelimu ya uraia kichwani au na yeye mbumbumbu kama ma Dr wetu wengi? Elimu ya cheti ni 0 kama hakuna elimu kichwan , usomi wa makaratasi hauwwzi ku determine kiwango cha ukimavu wa fikrawa mtuu , na walio liingiza taifa hasara ndio hao hao wanao jiita wasomi wa vyeti , idiot
Na ndio maana mkuu wa mkoa DAR inasemekana elimu yake magumashi lakin ni mbunifu kuliko hata hizi PhD zenu
Kumsifia mheshimiwa na kung'amua kuwa mheshimiwa anapiga kazi hvyo inabid aungwe mkonohivi elimu ya bongo zaidi ya kujua kusoma na kuandika inatusaidia nini zaidi?
Alipata division ngapi?? Nimeperuse 2007 Green Acres results za ACSE sijaona kitu.
Acheni maneno ya kebehi tuwe tu wakweli huyu binti ana uwezo mkubwa sanaNa anaonekana msomi kwa kiwango cha elimu kwa wabunge wengi wa Chadema mfano Mbowe,Sugu,Kubenea, Lema nk.In short hamna mkataba wa kiingereza unaosainiwa chadema bila kuupitia Upendo kwanza
sababu ni kiongozi uongozi wake una determine maisha ya familia yakoWatu wengine, mnaacha kuangalia maisha yenu unaanza kumchunguza mtu elimu yake, kasoma wapi kafikia wapi, usipoteza muda kumfikiria mtu mwingine, fikiria ya kwako na familia/ wazazi wako.
Ndio maana tumeuliza elimu yake, huyu ni wa kipekee, kachemka sehemu moja ktk press!! Anadai wananunuliwa ila haweki ushahidi.Acheni maneno ya kebehi tuwe tu wakweli huyu binti ana uwezo mkubwa sana
[emoji119] [emoji119] alirudi tena?...But yet wameweza kugombea na kuchaguliwa kuwa wabunge, wewe unayewacheka possibly hujawahi hata kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kitongoji, which means that huna ushawishi wowote kwa jamii inayokuzunguka.