Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

Ni la saba ila kapiga elimu za hapa na pale hivyo kajisogeza kidogo upstairs.
Ukishasema kajiongeza inamaana yuko huko alipo kwa sasa huwezi kusema tena ni la saba!.
Waliosoma darasa la saba ni stage kama ilivyo bachelor degree au PhD. Hivyo Kama kajiongeza mumuweke alipo sio kuendelea kusema yeye ni la saba huku mkidai kasoma hapa na pale.
Hii nisawa na kumuona mtoto ni mtoto kila siku hata anapokua wewe huoni mtu mzima kila siku mnamuona ni mtoto tu.
 
Siku hizi o level wanasoma PCB ? Nimekuambia alipaswa amalize kidato cha nne mwaka 2006. Shule ya secondary Baptist Mwanza.
Huo ni uongo , more mimi nilimfundisha pale Green Acres,alikuwa darasa Moja na Chicco mtoto wa Chicco RPC,hutaki unaacha.Alikuwa A level,acha ubishi,nenda Green Acres ,hiyo O level yu meitoa wapi?
 
hata akiwa la saba kwani haruhusiwi kuwa mbunge tumekaa kujadili majungu we jadili perfomance yake kwamba inakidhi viwango au haikidhi kuna watu wenye elimu ndogo wamefanya mambo makubwa tofauti na hawa wengine wengine wana degree za vyupi
 
Hata ndama huwa ni ng'ombe lakini huitwa ndama kwasababu za umri wake mdogo. Anapokua na kua maksai, au hadi anazaa alafu ukaendelea kumuita ndama wewe ndio unaonekana unamatatizo ya ufahamu.
Mtu aliyeunga elimu hadi kumaliza PhD huwezi kuendelea kusema eti ni la saba kasoma hapa na pale. Muweke anapostahili kwa sasa. Hata mliosoma mmesoma hapa na pale. Hakuna aliyesoma secondary, na high school UDSM. Tutoe description nzuri tuache upenzi na ushabiki.
 

Nyie ni mashetani kabisa! Mmefanikiwa kununua hadi maprofesa (Kitila) lakini mmeshindwa kumnunua kabinti kadogooo! Sasa mmetaharuki, ham-amini! Mnajiuliza huyu binti ana elimu kiasi gani? Kwani aliwakatalia dau la shilingi ngapi?
Kwanza wewe Bayyo sanasana kama umesoma ni graduate wa QT ya Genda pale Mbulu chini. Zero kabisa. Kaa kimya.
 
Kwani elimu ya Tanzania inaanzia wapi. Darasa la saba limefutwa?
 
afadhali la 7 anajitambua na uwezi mlinganisha pr,lipumba au dkt nanihii
 
Hata kama angekuwa la saba mwenzangu yuko vizuri kichwani sana
 
HAPA KUNA POINT MBILI

HUYU YUPO PALE EITHER


1. CHAKULA CHA TUNDA TAKATIFU...KWA WALIOJUU YAKE NDANI YA CHAGADEMU

au
2. KWA SASABU YA KIBUYU CHAKE KUONEKANA BADO NI KIBICHI SOO IMEONEKANA INAFAA KWA MATUMIZI YANAYOENDELEA MPKA 2020.
 
mlijua na huyu atanunulika sasa mmeshindwa mnatapatapa for your info binti alimaliza form six green acres PCB and once she had a dream that she's gonna be a MP from her home town now she is!!!!! an i can tell you she is one of the smartest girl in this era in our country!!!!
 
Isije ikawa chakula cha mkt..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…