Jibu hoja babu.. Au ww ni mdg wake mangeMmeshindwana bei huko ndio unakuja kulialia hapa. CCM wapuuzi sana
Jibu hoja babu.. Au ww ni mdg wake mangeMmeshindwana bei huko ndio unakuja kulialia hapa. CCM wapuuzi sana
Out of topic ....Kwa zaidi ya wiki Karistimatiki Katoliki waliandaa fire conference na theme ilikuwa kuhusu Waberoya ...sikuwahi kuwajua Waberoya vizuri hadi Mwalimu Paskali Massenge alipotufunulia tabia za Waberoya. Sasa naelewa kwanini unatumia hii ID ...safi sanakama std 7 kuna shida gani?
Kyagata, umesema vizuri sana: "...zaidi ya kujua kusoma na kuandika inatisaidia mini zaidii?" Swali kwako Kyagata: hivi kwa elimu hii ya bongo wewe kuna unachojua zaidi ya "kusoma na kuandika"? Kama jibu ni 'ndiyo' tafadhali elezea zaidi jisi elimu ilivyokufanya ukajua zaidi ya "kusoma na kuandika"; vinginevyo huna sababu ya kuibeza elimu iliyokuwezesha kufika ulipo.hivi elimu ya bongo zaidi ya kujua kusoma na kuandika inatusaidia nini zaidi?
She is smart!Nitacheki tena kwa umakini.
Anyway, good for her! Politics aside, she looks smart.
Ni wa kwangu Mkuu, mtoto wa taifa hajambo?ningependa kujua pale kwa makamanda ye ni wanani maana madem wote wamegawana
Hakuna shida yoyote tena kwa alivyo ni bora kuliko maprof wengi tu. Mungu amkweze binti huyu, Upendo Peneza afikie vilele vya juu kabisa taaluma na kazi ya siasa aliyochagua kuifanya!kama std 7 kuna shida gani?
Akihenga hoja mbele ya magu ataambiwa kama alivyojibiwa yule mkurugenzi kule bukoba: "wewe unaweza kunijibu hivyo wewe...?" So unajua jamma huwa hana nguvu ya hoja ila labda Mungu alimjalia kuwa na uwezo wa "hoja ya nguvu"!Kwa uwezo wake wa kujenga hoja unadhani hata magufuli na phd anaweza bishana nae kwa hoja?
Uwezo wako wa kufikiri upo kwenye ubongo ulioko katikati ya miguu! You are very sick!HAPA KUNA POINT MBILI
HUYU YUPO PALE EITHER
1. CHAKULA CHA TUNDA TAKATIFU...KWA WALIOJUU YAKE NDANI YA CHAGADEMU
au
2. KWA SASABU YA KIBUYU CHAKE KUONEKANA BADO NI KIBICHI SOO IMEONEKANA INAFAA KWA MATUMIZI YANAYOENDELEA MPKA 2020.
Wewe utakuwa umezaliwa miaka ya 1990 maana kwa mtu anaue ijua tanzania tangu uhuru hawezi kuwa na swali kama hilo wasomi hawajaanza awamu hii mkuu acha kupotosha kulishankuwa na ma Dr wengi tuu serikaliniMkuu ni lini wasomi wa nchi hii walishika nafasi kubwa kubwa tangu taifa hili liumbwe?? Zaidi ya magukufuri kuanza kuheshimu taaluma za watu katika utendaji kazi kwa maendeleo ya nchi awamu hii!!!!! Wasomi walikuwa wanapelekeshwa na wanasiasa ,ndiyo maana ukaja usemi wa akili ndogo haiwezi kuindesha akili kubwa,unajua chanzo cha kauli hii??
Wasomi waanze kulaumiwa miaka kumi ya magufuri ikiisha,maana sehemu nyingi kateuwa madokta na maprofesa,mpaka mkaanza kulalamika
kuwa usipokuwa dokta au profesa awamu hii ,huteuliwi,siyo nyie???????
Msiwangize wasomi wa taifa hili kwenye lawama za kishoga kama zako...
Nchi hii imetawaliwa na kuendeshwa na akili ndogo tangu tunapata Uhuru kwa asilimia 98.sasa wasomi awamu hii magu kawabeba,wakishindwa kututoa hapa ndiyo tuanze kulaumu.....
Ova.
......Mara ya kwanza kumwona na kumsikiliza live ilikuwa Kakola Kahama,mara ya pili juzi Nyang'hwale,nimemsoma akiwa Uganda na aliyekuwa kiongozi mathubuti wa chama pinzani Besigye na kwenye mijadala kadhaa ya gesi akitokea Norway.
Ni kijana binti mdogo mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kitaifa na kimataifa,huwezi kumsikiliza usimpongeze vinginevyo uwe na wivu uliopitiliza mno.
Naomba achukue fomu ya uongozi wa juu kabisa wa Bavicha taifa na asiogope vitisho na mbwembwe za wengine, vijana wenzake wamuunge mkono maana kakamilika.
Nawasilisha kama kuna mwenye kumfahamu zaidi amwagike.
hahaa yupo vizuri hapa udm si jesca auNi wa kwangu Mkuu, mtoto wa taifa hajambo?
Elimu gani unayoizungumzia usipokua nayo huwezi kuwa mbunifubashite ni mbunifu wa kitu gani-ubunifu ni ideas kwa mazingira ya kidunia ya sasa huna elimu huwezi kuwa mbunifu
Kwani kuna tofauti gani kwa akili kati ya darasa la saba na PhD?Akili mtu huzaliwa nazo,shule haijawahi kuongeza akili.Hakuna shule yoyote duniani inayoongeza akili.Na ndio maana unaweza kuona ujinga mwingi unafanywa na hao wasomi.Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.
She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.
Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.
Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
Kama ndo yule wa maisha plus basi uraia wake una utata utakuja kumsumbua mbeleni. Kwa kifupi ni mnyarwanda kama huamini fuatilia post zake nyingi fb.
YAH NIMERIDHIKA MKUU🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂