Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Tuige huu ujinga ndugu?
Kwa Yesu hakuna talaka!

Narudia tena kuna tatizo kwny hii hii tasnia ya gospel,wanawake wanajisahau sn yaani!

Hii sio ndoa takatifu bwana ,ndoa ya pili iwe takatifu? How?

sent using...tecno wereva[emoji23]
Dah,hii tasnia ya gospel **** tatizo la kiroho tena kubwa tu!
Hii sio sawa wanamtangaza Yesu yupi jmn?

sent using...tecno wereva[emoji23]

Na nnafikiri ndio sababu ya kufungua huu uzi sema mleta mada hajaweka wazi.

Ukiangalia wanawake wengi(Flora pia) wanaoimba gospel wameonesha hii tabia.Binafsi sijui wachungaji wanaofungisha hizi ndoa wana misimamo gani.
 
unatetea ujinga
 
wasanii wa kike wa gospel wana mahangaiko mnooo mnooo kuanzia kwenye life ad madhabahuni wanakua wana mawenge mno


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…