Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Aiseee

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
upo sahihi......


crown ni ushindi, anatakiwa kuvaa ambae hamjui mwanaume......


hio net (inayofunika uso) anatakiwa kuvaa ambae hajuani na huyo anaemwoa, mana anapomfunua hio net inaonesha hata chini hajawahi kumfunua.......


shella nyeupe, wanavaa wasafi .....


kwaio kimsingi binti bikra pekee ndio anaruhusiwa kuvaa shella jeupe, nyavu ya kufunika uso na crown, vyote vitatu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzinzi inakuruhusu kuvunja ndoa na sio kuoa tena!........


actually biblia inaposema uzinzi ina maanisha mtu na mchumba wake ambao wamemaliza hatua zote za posa na mahari, wanasubiri tu kubarikiwa na watumishi wa Mungu waanze maisha, hapo mmoja akianguka ktk uzinzi basi mwingine ana haki ya kukuacha na kwenda kuolewa tena!......


ila kwa wanandoa, hakuna sababu inayoweza kukufanya ufunge ndoa tena kama mwenza yupo hai...... unless awe amefariki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha Uasherati na Uzinzi.
 
Ukiondoa wahudumu wa baa hii ndo tasnia inayofuatia kwa sasa kwa uzinzi kwa watoto wa kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha Uasherati na Uzinzi.
ok zinanichanganya kutofautisha,........

kuna moja inahusu wanandoa , nyingine inahusu wachumba(mfano Yusufu na Mariamu alipopata mimba ya Yesu!)...........


sasa hio ya Mariamu na Yusufu, ndio yusufu angeruhusiwa kuoa tena, ila ya wanandoa ndio nitolee mpk mmoja afariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lady jaydee kaanza lini kuimba Gospel mkuu? Au sijaelewa vzr comment yako?
Kabla alikuwa muimba kwaya, umaarufu ulivyo mkolea akaanza kuacha kitovu wazi na vinguo vifupi, akapigwa "stop" kumuimbia God na Jizazi...
Ni miaka mingi huko nyuma... Kipindi kiilee ndo akaanza kuhangaika na katoto(mistabuluu) ka shule,na kuvuta...
 
Naona jamaa kavaa mabomu

Wengine hajawaolewa mpaka kunàkucha ila wengine wanabadilisha tu ndoa

Kila lakheri kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…