Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Aiseee

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Watu hawajui maana ya kuvaa shela. Hiyo aliyoweka kichwani hakupaswa kuivaa. Shela inavaliwa na mwanamke ambaye hana mtoto ikimaanisha hakuwa na mwanaume. Makanisa mengi siku hizi Kama ulishazaa hivai shela kichwani, Ni marufuku.
Sasa huyu dada yangu kujifunika huko kakosea.
upo sahihi......


crown ni ushindi, anatakiwa kuvaa ambae hamjui mwanaume......


hio net (inayofunika uso) anatakiwa kuvaa ambae hajuani na huyo anaemwoa, mana anapomfunua hio net inaonesha hata chini hajawahi kumfunua.......


shella nyeupe, wanavaa wasafi .....


kwaio kimsingi binti bikra pekee ndio anaruhusiwa kuvaa shella jeupe, nyavu ya kufunika uso na crown, vyote vitatu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ya kanisani inavunjika na kuruhusiwa kuoa au kuolewa tena kwa mara nyingine ikiwa mwenza bado yuko hai?
Nakumbuka sababu moja tu inaweza kupelekea hiko kutokea, uasherati/uzinzi.

Sasa kwa haya maelezo, wanaangukia kwenye kundi lipi?

Lakini mambo ya ndoa na mahusiano ni magumu sana, wakati mwingine ni rahisi sana kulaumu au kutia watu moyo kama mambo hayajakufika.
uzinzi inakuruhusu kuvunja ndoa na sio kuoa tena!........


actually biblia inaposema uzinzi ina maanisha mtu na mchumba wake ambao wamemaliza hatua zote za posa na mahari, wanasubiri tu kubarikiwa na watumishi wa Mungu waanze maisha, hapo mmoja akianguka ktk uzinzi basi mwingine ana haki ya kukuacha na kwenda kuolewa tena!......


ila kwa wanandoa, hakuna sababu inayoweza kukufanya ufunge ndoa tena kama mwenza yupo hai...... unless awe amefariki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzinzi inakuruhusu kuvunja ndoa na sio kuoa tena!........


actually biblia inaposema uzinzi ina maanisha mtu na mchumba wake ambao wamemaliza hatua zote za posa na mahari, wanasubiri tu kubarikiwa na watumishi wa Mungu waanze maisha, hapo mmoja akianguka ktk uzinzi basi mwingine ana haki ya kukuacha na kwenda kuolewa tena!......


ila kwa wanandoa, hakuna sababu inayoweza kukufanya ufunge ndoa tena kama mwenza yupo hai...... unless awe amefariki!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha Uasherati na Uzinzi.
 
Kama sikosei ni mwanamuziki wa nyimbo za injili..... alikuwa anaimba pamoja na mume wake aitwaye amoni kilahiro....

Aisee kama ni kweli wameachana itakua ni pigo lingine kwa taswira ya maisha ya watumishi wa muziki wa injili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiondoa wahudumu wa baa hii ndo tasnia inayofuatia kwa sasa kwa uzinzi kwa watoto wa kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha Uasherati na Uzinzi.
ok zinanichanganya kutofautisha,........

kuna moja inahusu wanandoa , nyingine inahusu wachumba(mfano Yusufu na Mariamu alipopata mimba ya Yesu!)...........


sasa hio ya Mariamu na Yusufu, ndio yusufu angeruhusiwa kuoa tena, ila ya wanandoa ndio nitolee mpk mmoja afariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lady jaydee kaanza lini kuimba Gospel mkuu? Au sijaelewa vzr comment yako?
Kabla alikuwa muimba kwaya, umaarufu ulivyo mkolea akaanza kuacha kitovu wazi na vinguo vifupi, akapigwa "stop" kumuimbia God na Jizazi...
Ni miaka mingi huko nyuma... Kipindi kiilee ndo akaanza kuhangaika na katoto(mistabuluu) ka shule,na kuvuta...
 
Naona jamaa kavaa mabomu

Wengine hajawaolewa mpaka kunàkucha ila wengine wanabadilisha tu ndoa

Kila lakheri kwao
 
Back
Top Bottom