Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili


uyu ni maarufu sema ndio awavumi awa ndio walikua waimbaji binafsi wa gospel miaka iyoo kabla ata ya awo una wataja alfu sikia usiwe mbishi kuna google mzee ruka uko fasta ama youtube ndio unapata data zote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Alikuwepo mwingine akiitwa Beatrice Muhone, aliivuruga ndoa yake alipojaribu kutoa album ilikuwa kama kituko, Biblia inasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Hii kesi niliisikiaga kupitia kwa rafiki yangu mmoja ambaye mjomba wake alikuwa mume wa binti...'inasemekana mzee mwenye mvi nyingi' alihusika ndoa ikawa chungu na binti alipenda umatemate basi ikavunjwa kimya kimya maana mjomba aligoma kushare!! usimwambie mtu ilikua miaka ya kama 10 hivi nyuma kama kumbukumbu zangu ziko njema
 
Kabla alikuwa muimba kwaya, umaarufu ulivyo mkolea akaanza kuacha kitovu wazi na vinguo vifupi, akapigwa "stop" kumuimbia God na Jizazi...
Ni miaka mingi huko nyuma... Kipindi kiilee ndo akaanza kuhangaika na katoto(mistabuluu) ka shule,na kuvuta...
nakumbuka hiyo issue mkuu utakuwa wa kitambo sana wewe
 
Hivi yuko wapi sasa hivi Beatrice ?
 
Tuige huu ujinga ndugu?
Kwa Yesu hakuna talaka!

Narudia tena kuna tatizo kwny hii hii tasnia ya gospel,wanawake wanajisahau sn yaani!

Hii sio ndoa takatifu bwana ,ndoa ya pili iwe takatifu? How?

sent using...tecno wereva[emoji23]
Kweli! Injili fake ya makanisa ya mifukoni ndio wanaweza kufungisha ndoa kwa watu ambao walishafunga ndoa halali na takatifu. Kama ndoa ni halali na imefungwa Kanisani hakuna talaka hadi mauti! Ukweli mchungu! Tena fundisho la Yesu mwenyewe!
 
Hata uasherati hauvunji ndoa ni misinterpretation tu. Yesu anasema toka mwanzo halikuwa kusudio la Mungu kuwe na talaka lakini Musa aliruhusu sababu ya ugumu wa mioyo ya wana wa Israel.

Lile neno ambalo Yesu anaposema alichounganisha Mungu mwanadamu asitenganishe alafu aruhusu talaka? Lile andiko wanalochukua wengi la "isipokuwa uasherati" linatafsiriwa vibaya. Kwanza kwa wataalam wa Bible wanasema neno uasherati lilitumika kwa kukosa msamiati sahihi lakini kutoka kwenye lugha halisi si uasherati. Nitatafuta ufafanuzi wa kina niweke hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…