Acha kudhalilisha watu wenye wokovu/waliokoka/wanaofuata neno la Mungu kwani huwa hawaolewi ovyo ovyo kama huyu unayemsema.Hana wito wa neno la Mungu bali kuimba injili ni kama kichaka cha kuficha maovu/uzinzi wake.Ndoa ya pili?Ya kwanza imekuaje?Mme wake wa kwanza yuko wapi?Na yeye umaarufu wake?Chanzo cha kuachana?Walikuwa na watoto wangapi au?Mme wa sasa hakuwa ameoa?Ana watoto wangapi?Alikuwa na umaarufu gani?Mke wake wa mwanzo yupo wapi?Waliachana au Mola aliwatenganisha?
Acha kukurupuka huko uliko,eti ana umaarufu,UPI?Wa kuolewa mara ya pili au?Umaarufu wake itakuwa ni wa kuolewa mara ya pili kwa sababu inaonyesha wamevuta umri haswa.Eti ni maarufu,mnakurupuka kutoka huko Pugu mnada wa ng'ombe mkiwa mnatafuna vidari vya ng'ombe na kuposti uzi kututaka kutuaminisha kuwa alikuwa ni mtu maarufu sanaaaa wakati ni mama huyu ni maarufu kwenye familia yako labda kidogo kwenye ukoo wenu.
Sent using
Jamii Forums mobile app